Sasa unalialia nini mambo ya kawaida haya. Steven Gerrard aliwai kumpa pasi drogba ili Chelsea wasinde na united wakose ubingwa.Nilikua naangalia press conference ya Ange baada ya mechi jamaa anaonekana amekasirika vibaya mno. Anaongelea juu ya misingi ndani ya timu kua legelege akaulizwa hilo swala kaona nje ya timu au ndani ya timu akajibu kote.
This means Ange focus yake ni ushindi ila timu haina huo utamaduni, kwao mafanikio ya msimu ni kumaliza juu ya Arsenal au Arsenal asipochukua ubingwa. Makocha wawili waliopita Jose na Conte wote waliongelea hilo swala kwamba "Timu haina winning mentality"
Conte alienda mbali akasema labda hii ni historia ya Tottenham. Lakini hili swala la misingi Jose alilisema akiwa na nyumbu pia, mwingine aliyeongelea misingi ya nyumbu ni Zlatan, Pogba na Cristiano.
Kama Bongo, mafanikio ya Simba ni Yanga asishinde kitu bila kujali kama yeye hatoshinda pia and vice versa. Conte alifukuzwa kwa hili alilofanya Ange, so tusubiri kuona ikiwa Tottenham wataona aibu na kujirudi au watamfungashia virago Ange.
Loser mentality zipo kwa midtable teams mara nyingi, atafurahia kusuluhu au usipomfunga magoli mengi. Wewe upo ulimwengu mwingine kabisa yeye yupo busy kufuatilia unacheza na nani next game. Atatoa ubashiri pale, haitakua anavyotaka. Atakunywa K Vant kutuliza hasira, atajichua kidogo. Kisha anarudi tena kuleta ubashiri mpya au kuandika utumbo mpya.
Lolote litakalomjia kichwani muda huo.
Mimi nachojua kitendo cha Arsenal kuanza kucheza game harafu mpinzani ndio anafata hio Ni advantage kubwa Sana ....Ifike hatua tukubaliane Epl walau kuanzia mechi 3 za mwisho kuelekea msimu kuisha ziwe zinachezwa kwa muda sawa.
Hii itasaidia kuongeza ushindani katika ligi na kuepusha uelekea wa maamuzi ya matokea ya baadhi ya mechi.
Waiweke katika kanuni zao kabisa bila kujali hali msimamo wa ligi.
Nawaza pengine hizi game 3 za mwisho zingekuwa zinafanyika kwa namna hiyo, mbali na kuleta msisimko lakini zingweza kuwa na matokeo tofauti.
Unawinda visababu vya kua na chuki unavikosa inabidi uwe na gubu sasa.Sasa unalialia nini mambo ya kawaida haya. Steven Gerrard aliwai kumpa pasi drogba ili Chelsea wasinde na united wakose ubingwa.
Everton waliwahi kumuuzia mechi Guardiola ili Liverpool tusiwe mabingwa. Nyie mlitegemea kabisa mchukue ubingwa kwa msaada wa spazi mnaowatukana kila siku??
Shindeni mechi zenu zote msimu ujao muone kama hamtakuwa mabingwa.Unawinda visababu vya kua na chuki unavikosa inabidi uwe na gubu sasa.
This is me kwenye webistes zingine nikiongelea juu ya hiyo game. Ni sawa na nilivyojibu wengine humu kwamba acha City ishinde.
View attachment 2991757
Simu yako ingekua inafungua picha ungesoma nilichoandika ungeona wazi hichi unachoniandikia mimi sina kazi nachoShindeni mechi zenu zote msimu ujao muone kama hamtakuwa mabingwa.
Kabla ya kulaumu flani, jiulize umepoteza points ngapi kizembe dhidi ya timu za kawaida?, mfano umepigwa nje ndani na Villa, hapo ulitegemea maajabu gani ya Spurs kuifunga City wakati Spurs hiyohiyo mechi 5 za mwisho zisizohusisha City alishinda 1 tu?.
Mbona Leicester City alichukua makombe na hao mnaoita watu wenye hela za mafuta wakiwepo?.
Timu tangu 2004 huko hakuna cha maana, kila mwaka janja janja zile zile za kusajili wachezaji wachanga wa mafungu wengi halafu mnataka mchukue ubingwa upi?
sawa malkia wa mipasho,tumesikia maoni yakoFalse hopers FC aka yatima wa Wenger aka bottlers FC aka asenane FC aka Arsenyetoz fc aka partey efusiiiiii aka asenyani FC
Ninyi kombe mtakalobeba ni kibuyu cha pombe ya ulanzi ,
Nilishawaambia tangia msimu unaanza ,ila kwa vile mna vichwa vizito kuelewa mnakaza fuvu na kujazana upepo kwenye hichi kijiwe Chenu .
Ninyi ni poor fc
Hamis na genge lako mhame humu ,
Kenge kabisa , yaani ninyi ni wa kutegemea Totenham awape ubingwa kwa kumvizia kipara ?
Mna wazimu ninyi
Halafu mna guts za kujiita kings of london football .
Ninyi ni level za akina Fulham na Brentford hapo london .
Kweli nimeamini London itabaki kuwa blue always .
Yaani nikajua ninyi fisi mwaka huu kwa form mliyonayo basi mtakaza muondoe aibu ya Epl kubebwa na timu moja muda mrefu ,ila wapi .
Kwenye Arsenyetoz ni Arsenyetoz tu .
Mlikuwa mnajitutumua humu kubeba treble mwaka huu , tukaanza kuhesabu carabao mkala vitasa , tukaja FA mkala ngumi ya chembe kidevu ,tukaja UEFA mkala katafunua tena toka kwa Bayern huyu huyu mliyekuwa mnamtukana kila siku kuwa ni dhaifu na mnataka mkutane naye mumtie adabu na sasa Epl mmechezea katafunua nyingine toka kwa city tena city hii dhaifu kuliko ya msimu uliopita .
umetema madini ya kutoshaNilikua naangalia press conference ya Ange baada ya mechi jamaa anaonekana amekasirika vibaya mno. Anaongelea juu ya misingi ndani ya timu kua legelege akaulizwa hilo swala kaona nje ya timu au ndani ya timu akajibu kote.
This means Ange focus yake ni ushindi ila timu haina huo utamaduni, kwao mafanikio ya msimu ni kumaliza juu ya Arsenal au Arsenal asipochukua ubingwa. Makocha wawili waliopita Jose na Conte wote waliongelea hilo swala kwamba "Timu haina winning mentality"
Conte alienda mbali akasema labda hii ni historia ya Tottenham. Lakini hili swala la misingi Jose alilisema akiwa na nyumbu pia, mwingine aliyeongelea misingi ya nyumbu ni Zlatan, Pogba na Cristiano.
Kama Bongo, mafanikio ya Simba ni Yanga asishinde kitu bila kujali kama yeye hatoshinda pia and vice versa. Conte alifukuzwa kwa hili alilofanya Ange, so tusubiri kuona ikiwa Tottenham wataona aibu na kujirudi au watamfungashia virago Ange.
Loser mentality zipo kwa midtable teams mara nyingi, atafurahia kusuluhu au usipomfunga magoli mengi. Wewe upo ulimwengu mwingine kabisa yeye yupo busy kufuatilia unacheza na nani next game. Atatoa ubashiri pale, haitakua anavyotaka. Atakunywa K Vant kutuliza hasira, atajichua kidogo. Kisha anarudi tena kuleta ubashiri mpya au kuandika utumbo mpya.
Lolote litakalomjia kichwani muda huo.
dharau dhidi ya mtu mweusi hazitoisha kamweLike sister, like brother
View attachment 2991342
Acha Jumapili ifike tucheze na Everton kwanza huku tukimsikilizia Pep atawafanyaje wagonga nyundo. Ukitokea muujiza, mbona parade ipo mwanangu?Vipi wakuu maandalizi ya parade jumatatu pale Londin yanaendeleaje? Naona mayor wa London Sadiq Khan atakuwa mgeni rasmi au sio wakuu
Una roho ngumu we jamaa bado tu unahisi kuna miujiza?! wenzio walikosa ubingwa kw points 90+ we unataka ubebe kwa 89.Acha Jumapili ifike tucheze na Everton kwanza huku tukimsikilizia Pep atawafanyaje wagonga nyundo. Ukitokea muujiza, mbona parade ipo mwanangu?