Huwezi kuw unasaka matokeo una kai ndani, mchango wake kwenye kusaka magoli na kutengeneza ni mdogo mnoooo..
Leo kipindi cha kwanza angefunga walau 1.
Kwanza kuna cross ilipigwa yaani ule mpira ni kimo chake, hatimae akaruka kama chura.
Kuna mpira yeye ndio alikuwa mbele, hatimae beki akamkuta na kumzuia.
Mipira mingine mpaka naisahau.
Kacheza LCM lakini ni yupo yupo tu kama mfanyakazi hewa , ye ni kuzuia mpira na kupasia kamaliza,
Ngoja nikatizame updates za wayahudi na wa Persians.