kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Vipi wewe timu yako imepangwa na ipi?Mtabondwa mchakae , Bayern sio Sheffield United
Ninyi Kenge huwa hamsikii mpaka damu ziwafikie kwenye masikio , round hii mtajuta kushiriki UEFA , Kane anawalia karanga mbichi
Mtakula kisago cha mbwakoko
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Nyumbu Wana tatizo la kiisaikolojia, lakin zile game zao na Bayern walifungwa kwa kujitakia tuHii ni Imani ilopitiliza
Acha uoga ndugu Yangu
Nikukande ww🤠🤠...au unajitoa fyuzi...hujamalizana na sisi kule kwny jambo letu...tunahitaji GD kubwa kutoka kwako...kono la nyani lipo palepaleunaendelea kuota au sio , umkande nani wewe ,timu ya ushindi papatu papatu ,
Porto umeshinda kwa papatu ya penalty ndio uje ushindane na miamba ambao kila msimu wanafunga semi final ya uefa , miamba wamiliki wa kombe la UEFA kama Bayern
Toka usingizini wewe
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Kuna mtu alifikiri tungeitoa ile madrid na kuingia fainali. ? Nw mpira uwanjani tuombe tukutane na madrid na cyo man citySiogopi ndugu yangu...mi nazungumza uhalisia..sitashangaa tukimtoa Bayern..ila nitqshangaa sana tukicheza fainali🤠🤠...ratiba yetu ya EPL Iko tight..na hzi competition kadri unavyozidi kwnda mbele ndo inaku drain physically na mentally...ndo maana naomba tuwe na full squad for the rest of the season
Naam, tuwe Fit na kikosi chetu kamili wanafungika Hawa vizuri tu.Na tutacheza naye..tuombe tuwe na full squad...bila majeruhi yyte hlo ndo kubwa...mabeki wetu wte wakiwa fit Hawa tunaruka nao
duh hizi ndio zinakoleza vifukuto mambo yakigoma haahaaahaaaaaaa......
Naam, tuwe Fit na kikosi chetu kamili wanafungika Hawa vizuri tu.
Hii sio Arsenal ile ya kuungaunga iliyofungwa 10.
we jamaaaa kila ukisemahivi asenali inasema vile unakuwa kama pweza hv.....hahaaaaaaNawashauri msiingize timu uwanjani
Uache kulinganisha matakataka na vitu vya maana...Hii arsenal naionaga kama vile yanga interm of progress
1. wote wamepewa hard opponents in champion league level but they are confident enough to process
namaanisha yanga v mamelod
arsenal v bayern
2 wote ni vinala kwenye league zao respectively na wanaongoza kwa magoli mengi pia kwakuwafunga league opponent 5g goals in different matches.
3 they somehow ( yanga / arsenal) have some beautiful matching play style ( pira biriyani)
4 lastly kati ya mmoja hapo anaweza ishangaza dunia either yanga aishangaze africa in the caf knockout stage
au arsenal ashangaze dunia kwakumtoa bayern mwenye historia naye isiyo kuwa nzuri refer previous 10-2 aggregate match
football is full of joy to watch and we all waiting to be fascinated with the upcoming fixtures
this is football my brother anything can happenUache kulinganisha matakataka na vitu vya maana...
Arsenal ana possibility kubwa ya kupita hapo Bayern sio mzuri sana msimu huu kama Man U tia maji tia maji walitoka 4:3 allianz Alena basi nina uhakika anatoka sema kigingi kipo nusu
Nyie uto na mamelod mzidi kuzidisha sala na sadaka... Hasa kama mliangalia Afcon.. kupita kwenu ni ngumu mno... Na hampiti tupo hapa jipen moyo tuu
Tunakuja kukukamua hapo hapo kwako ,au unajusahaulisha ulivyoponea chupuchupu darajani ?Nikukande ww...au unajitoa fyuzi...hujamalizana na sisi kule kwny jambo letu...tunahitaji GD kubwa kutoka kwako...kono la nyani lipo palepale
Ni kwel mpira unadunda lakini sio kwenye matopethis is football my brother anything can happen