Njaa labdaHii game tutashinda
Na ndio lengo la Porto tangu mwanzo. Washikilie bomba hadi mwisho. Wanajua wana kipa mzuri kwa penalty. It worth a bet!Wasifike Penalty...Raya ni mweupe kabisa...yule kipa wa Porto ni mzuri kwa Penalt
Ngoja uoneNjaa labda
Labda bado hana match fitness.Time to bring on partey
Hawafiki huo mudaNa ndio lengo la Porto tangu mwanzo. Washikilie bomba hadi mwisho. Wanajua wana kipa mzuri kwa penalty. It worth a bet!
Kabisa MkuuTulipopangwa na Porto kina Hamis walihesabu tutapita kirahisi,nakumbuka niliandika humu kwamba PORTO WASICHUKULIWE POA
Game lenu wewe na nani?Hili game letu
Orlando pirates of the CaribbeanGame lenu wewe na nani?