As I thought Porto hawatokaa nyuma ila wascore kwanza kisha ndiyo wakae nyuma. Tungeenda half time bila bila second half Porto wangerudi kupaki basi.
Hata hivyo Arsenal ana pressure ya kufuzu kuliko wao, wanaweza wakapaki basi kusubiri matuta pia. I hope hili holi litawafanya wacheze mpira