Arsenal (The Gunners) | Special Thread

"Huenda" hii ndo ikawa mechi ya mwisho kumuona Ramsdale kwenye uzi wa gunners
 
Huyu De Zerbi na Brighton nini kimetokea?

Akitokea kocha yeyote idea hua ni kumshindanisha na Arteta, ilikua hivyo kwa Lampard, ikawa hivyo kwa Ole, Erik, Ange na De Zerbi.

Mara zote Arsenal fans tumemtetea Arteta. Siku hizi husikii tena, anatafutwa mwingine aanze kulinganishwa naye.

Mara zote Arteta amewaacha wenzake kwenye level ya support kutoka kwa mashabiki na kua consistent na matokeo mazuri. Arsenal ikipoteza game leo una uhakika mechi ijayo mtashinda.

United itashinda dhidi ya everton? Ikishinda itaweza kua na matokeo hayohayo next match?
 
Hivi nyie kenge kweli mshawai kubebe hata Europa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Europa ni kuwaonea ungewauliza washawahi kushinda hata Conference League?
Ila Arsenyau wameshaweka rekodi ya kushinda makombe mengi ya Emirates kuliko timu yoyote duniani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Europa ni kuwaonea ungewauliza washawahi kushinda hata Conference League?
Ila Arsenyau wameshaweka rekodi ya kushinda makombe mengi ya Emirates kuliko timu yoyote duniani[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣
 
Kama hizo habari ni za kweli kwamba Barca wanamtaka Arteta basi barca inaenda kupotea kwenye ramani ya soka la ulaya.
Arteta ni jamii ya kina Tony Pulis au Big sam Alladyce huko kocha wa middle table
Unasumbuka sana na Tactician wetu...TAfuteni kocha wa kueleweka na hakikisheni Salah mnamuahidi kumpa umiliki wa timu kabisa Ili asiondoke dirisha kubwa kwnda kula mihela ya kustaafu...vngnevyo mnarudi kuwa Livapulu ileeee...ya miaka ileee...ya nafasi za sita kushuka chini...hamna wachezaji wenye mbinu zaidi ya Counter attack ndo maana mkikutana na mabingwa wa kukaba na kuzima Counter mnakuwa kama videri....nawatahadharisha tu
 
Micky mouse cup izo hatuzitaki, afu ukiingia humu uwe na adabu kijana wa TASAF
EUROPA ni kombe la best losers🤠🤠...ndo maana Manunu walijitahidi awamu hii hata wawe ma loser wazuriwazuri lakini wapi nako wakapakosa....kwhyo Livakuku ni ma loser ndo maana wako hko
 
It will depend on his performance, if he plays better,arteta will give him more matches
Haitegemei na performance mkuu, Ramsdale anahitaji game time ili kuendelea kuboresha uwezo wake na kupigania namba team ya Taifa

Arteta hawezi kufanya tena rotation ilhali Raya teyari kashaingia kwenye mfumo, kwahiyo sio issue ya performance tena bali ni game time
 
Partey amesharudi

Huyu hapa chini ni joginho[emoji116]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…