Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ila washika mitutu wa jiji la London toka Arteta amekuja hii timu imewasha moto sana aiseee.......mpaka watu wameonesha chuki zao waziwazi.....Hebu fikiria hata tukifunga goli hawataki tushangilie....hahahahaaaaaa
Shuleni ukiwa kilaza wa darasa kila mtu anakutegemea uendelee kuharibu ili wao wajifariji kwamba mwisho wa muhula hata wasipoongoza darasani watakupita wewe. Sasa ukianza kupiga msuli sawa sawa na kuanza kupasua, wale vilaza wengine wanachukia maana wataenda kuwaambia nini nyumbani? Wale vipanga nao wanachukia kuwa umewafikia.

Sisi ni wale vipanga tulioanguka kidogo tukawa vilaza. Sasa tunarudinl kundininl kwa vipanga lakini hawataki kutupokea. Vilaza nao hawataki tuwaache. Tunajikuta wanaotupenda ni sisi wenyewe. Ila hakuna namna tutapambana mpaka kieleweke.
 
Goodmorning arsenal fans.kufuatia matokeo ya arsenal ya mechi tatu zilizopita nimepata hasara ya ongezeko la kilo mbili kwenye uzito wangu😂😂😂.anyway sio mbaya.

Kuna watu wanasema tuna mdomo na hatujui may itakuwaje.guys take it easy and enjoy it while it last.
Yesterday is history
Tomorrow is hope
Today is a blessing,please enjoy to the fullest and maxmize it.
Naomba tuongeze juhudi za kuwakera kwa matokeo tunayopata.hii kazi mkorea na Hamiss 77 ongezeni bidii.

Mkuu MalcolM XII una tule tumaneno twa kukeraaaaaaa naomba ongeza juhudi ili waelewe.
HENRY14 jitahidi kaka hii kazi ya kuwapa shida man u,chelsea na liver inahitaji ushirikiano wako pia.
Mkuu Castr hivi unajua Flano anakereka sana kwa hiyo avatar yako yenye legend wenger?.waeleweshe wapinzani kwamba hatuna haja ya kusubiri kesho ili tufurahi.tunaenjoi leo.

Washabiki walioanza kupenda hii team toka late 90's na early 2000 wanajua wapi tumetoka na ni kwa muda gani tumeteseka kuchekwa hadi na team kama chelsea na man city ambazo ni team za very new football generation
Usichukie enjoi
 
Timu toka aje mawigi kubond haina kikombe chochote Cha maana
Wenzenu tunaenda kubeba Kwa mara nyingine vyote vilivyo mbele yetu.
Ni juzi kati tu hapa tulichukua EPL,, nyie mmechukua lini?

Na tupo kileleni.
Tusindikizeni...mwezi wa tatu nyny mnarudi mlikotokea....kusumbuana na kina Manunu huko chinichini...mmeshaonesha hapo juu hampawezi...unakulaje chuma tatu ukiwa unaongoza ligi 🤠🤠🤠
 
Sawa kabisa mkuu napokea majukumu kwa mikono miwili.
 
Tusindikizeni...mwezi wa tatu nyny mnarudi mlikotokea....kusumbuana na kina Manunu huko chinichini...mmeshaonesha hapo juu hampawezi...unakulaje chuma tatu ukiwa unaongoza ligi 🤠🤠🤠
Mbona kuongoza ligi mmeshindwa sasa hadi sasa mnatapatapa
 
Ni suala la muda tu....kimahesabu mpk Sasa nyny ni WA pili...mmekaa kienyejienyeji tu hapo juu ila leo mnatoka rasmi
EPL umechukua lini mara ya mwisho?
Hasabu gani unazopiga wewe zinazokwambia 1 ni 3😂😂
Mashabiki wa arse8 mmevurugwa vibaya
 

Attachments

  • Screenshot_20240217-130012_1.jpg
    83.5 KB · Views: 11
Jurden klop alibeba EPL baada ya livepool kukaa miaka 30 bila kombe . Na kombe lenyewe kachukua kipindi cha korona kipind watu wanaumwa ..

Klop kaona hawez tena kubeba kombe , liverpool mjiandae kisaikologia miaka ya taaabu na mateso inakuja mpk corona irud tena ndio mbebe EPL
 
Huyu Flano tunaishi wote Kiwalani siku hizi hanisalimii
 
Tulishasema ligi tutaianza January, Sasa hivi ni mwendo wa spana tu Hadi may

Unyumbuni nitawafundisha soka kwa kejeli, kashfu na mauzi. Maana wamekua wajinga wa muda mrefu sasa

Kenge nawaachia wengine wadili nao
 
Mbona nyie hata wakati watu wanaumwa mlishindwa kuchukua
Miaka 20 mpo bado mnarandaranda tu
 
Unapozungumzia sisi miaka 20 bila kombe, kumbuka mlipiga miaka 30

Kwani shangazi unatumia mfumo gani kusoma hizi comments?
Katika hio miaka 20 yenu ya kuwasindikiza mabingwa, Liverpool ameshinda haya makombe makubwa yafuatayo:

-Uefa 2 trophies
2004-2005/2018-2019

-Uefa Super Cup 2
2005-2006/2019-2020

-International champions cup 1
2014-2015

-World Club Cup 1
2019-2020

Ukiachana mauchafu ya FA, EFL na Community Shield yasiyo na idadi waliyoyajaza kwenye kabati lao.

Arsenyau mnapenda sana kufanya battle na kujilinganisha na timu kubwa kama Liverpool, Man Utd, Chelsea na Mancity wakati nyinyi level zenu ni kina Tottenham, Brighton, Fulham, Aston Villa maana hata Westham amewazidi ana kombe la ulaya.
Arsenyo nyie mafanikio yenu ni kwenye Sexy tu, mko vizuri kwenye kucheza pira la unenguaji tokea enzi za mzee Wenger lakini linapokuja suala la mafanikio ya makombe jua kuna wanaume wa hizo kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…