Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Do you condemn pumba kujitenga na mchele 3 weeks before the end of the league?
Sasa hyo inakuwa sio pumba sasa....maana yke inaonekana kulikuwa na mnyukano mpk karibu na ligi kuisha....ila hzi pumba zngine tyri tupo GW 15 now wameshatupa Taulo...too early...ndo maana tunasema wao ni level za kina Luton Town huko
 
Mikel Arteta juu ya kumsaini Declan Rice:

"Nilipozungumza naye, aliniambia mara nyingi kutoka siku ya kwanza, "Nataka tu kuichezea Arsenal na nataka kucheza na wewe".


Na alishikilia neno lake hadi dakika ya mwisho na tulitosha kumpata."


"Ni mnyenyekevu sana, mcheshi, mchapakazi sana. Anajitolea sana katika kila kitu anachotaka kufanya. Anataka kushinda kila kitu anachofanya.

Amejumuishwa katika timu kwa njia nzuri sana."
 
Mkuu unawatisha watoto ujue.
Hatishwi mtu me nawachana ukweli wa wazi wazi , hawana uzoefu na hizi mbio za ubingwa mimi ambae nimekosa title 2 kwa difference ya point 1 dhidi ya citizen najua njia sahihi sasa wacha wajikanyage.
 
Kama kawaida stori ndefu.

Majibu hakuna
 
Kama kawaida stori ndefu.

Majibu hakuna

Jibu hamna tena? Nimekuambia gotdon kachukuliwa kwa 45M akiuzwa itakuwa ni zaidi ya hio 45 ambayo hakuna mchezaji yoyote wa arsenal aliwahi kuuzwa kwa bei hio toka arsenal inaanzishwa.

Saaa nakuuliza wewe mchezaji gani arsenal anewahi kuuzwa kwa dau linalozidi 45 M nitajie mmoja kabla hatujafika kwa hio 120M , taja mchezaji aliyeuzwa hata kwa nusu ya hio bei ?.

Unaleta false hope ya 120M wakati hata 50M hamjawahi kufika
yaani nyinyi ni makondoo kwelikweli kuongea vitu vya kufikirika tu
 
Ule Uzi wao wa Newcastle wameukimbia

Walikuwa wawili mmoja kaona hali mbaya kakimbia ,mmoja kaona anajiongelesha mwenyewe ndipo kakimbilia humu ,msipompa airtime sijui ataenda wapi
Kumbe dawa ni iyo tu kumuangalia na kumuacha eeh,

Safi kabisa
 
Lete data zinazosupport unachosema juu ya Gordon. Na kupinga ninachosema
 
Nazan wewe kama walivyosema wadau wewe ni wa kupuuuzwa timu yako itapokuwa itapokuwa na hadhi ya kujib, nyumbu na kenge tunaeza kukaa nao meza moja tukazungumza siyo wewe
 
Nimekuuliza kama kuna timu kubwa imewahi kumtaka Wilson
 
Labyrinth 84

Kuna timu kubwa imewahi kumtaka Wilson?

As of now kuna timu imeonyesha kumtaka mchezaji yeyote wa nyukesto?

Kiwior. Anakaa bench Arsenal, Juve inamtaka
 
Ule Uzi wao wa Newcastle wameukimbia

Walikuwa wawili mmoja kaona hali mbaya kakimbia ,mmoja kaona anajiongelesha mwenyewe ndipo kakimbilia humu ,msipompa airtime sijui ataenda wapi
Kumbe kuna uzi wa Newcastle!? 😃
 
Y
Yaaan huyo ndug yako anaubishi wa kitoto huwez ukamweka saka kwenye kapu moja na gordon ukasema unaakili timamu,ubishi wa kitoto ni kubisha ukiwa haumaanishi unachobisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…