Nimehamasika kuangalia hao kina Wilson, Isak, Gordon. Nataka kuwaona uchezaji wao ukoje. Je wanakabwa na mabeki watatu watatu kama kina Saka na Martinelli? Je wanapigwa mabuti na mangwara ya kutosha na refa hafanyi chochote kama kina Saka?Anamuweka sentence moja Saka na Gordon
Huyo Mwehu kabisa
Mashabiki hatujamkubali. Tumelazimika kumzoea tu 🤣Arteta kuhusu Havertz:
"Nadhani alihisi kuungwa mkono na wachezaji wenzake wote na klabu yake.
Na sasa, anahisi kuungwa mkono na mashabiki wetu, ambayo ni muhimu sana na ni kitu ambacho kinaweza kukuza uwezo wake.
Ndiyo maana nadhani sasa tunaona toleo zuri.”View attachment 2837258
Makocha wamekuwa wanakiri ,wanawafanyia Saka na Martinelli mpango maalumu kabisaNimehamasika kuangalia hao kina Wilson, Isak, Gordon. Nataka kuwaona uchezaji wao ukoje. Je wanakabwa na mabeki watatu watatu kama kina Saka na Martinelli? Je wanapigwa mabuti na mangwara ya kutosha na refa hafanyi chochote kama kina Saka?
Wengine hao ni wa kuignore, uzi unajaa la maana wanaloleta hamnaWewe ni wakupuuza kabisa yan sentensi moja unawaweka Godon na Saka , kumbe ndo maana kuna watu umu hua hawajisumbui na wewe kabisa.
Hawa villa ndiyo nawaamini wanaweza kutupiga. Last season tulipambana sana ndiyo mwishowe tukawashinda. Naamini wana kipa bora, Martinez, na huenda asingetoka kupambania kona tusingewapiga goli la nne.Makocha wamekuwa wanakiri ,wanawafanyia Saka na Martinelli mpango maalumu kabisa
Kocha wa wolves anasema walimfanyia Saka mazoezi ya kumkaba ,Cha ajabu akawaweka
Hata leo Astonvilla,plan Yao ya kwanza kabisa kuwakaba wawili wawili Saka na Martinelli,ndipo waanze kuwaza mengine
Mimi miaka 7 umeweka specific miaka kabisa....ww je ni miaka mingapi exactly???...halafu chukua miaka yako na yangu then tuone nani ni regular Na nani ni mgeni kabisa🤠🤠🤠...halafu mwaka jana ni mwanzo tu kwetu wa kurudi rasmi...vp ww ndugu yetu mwaka huu unamtoa nani pale juu kama Everton tu wanakupa miguu bajaji na kikosi chako cha kina Gordon....maana Bournemouth ulisema mna majeruhi wengi sana...vp na Everton napo mlikuwa na majeruhi wengi auKwani wewe before mwaka jana ulicheza uefa mwaka gani? Ukiongelea team ambazo katika misimu 7 iliyopita imecheza uefa au kupata nafasi ya kucheza uefa arsenal pia haipoo.
Wewe na Newcastle ndo watu wapya kwenye top 4 , kama unabisha basi taja mwaka uliocheza uefa katika miaka 7 iliyopitayaani unaongea as if hapo top 4 kwako ni kila siku kumbe na wewe mgeni tu.
Uhalisia wenu nyinyi arsenal ni upi? Kushinda mataji ama ? Basi tuonyeshe hilo taji ulioshindaView attachment 2837071
Hii parade mlifanya mlikua mmeshinda trophy gani mkuu au hizi ni habari za kutunga?
Wilson anakupiga ngumi akiona unamkaba sana🤠🤠...kamuulize Gabriel Malgalhaes...alimkaba mwsho wa siku akala ngumi moja matata🤠🤠...Hana hamu nae...Saliba naye alilambwa Kofi ila akakausha kiume....Isak yy anachojua ni kutoka nduki...yy na Rashidi Makame hawana tofauti kubwa....Gordon yy akiwa na mpira ni anabutua mbele then mfukuzane...nishakupa sifa zao mkuu...kwhyo ukiwa unacheki mechi zao ukiona wachezaji wnye sifa hzo ujue ndo hao jamaa bila hata ya kusoma majina Yao mgongoni🤠🤠🤠🤠Nimehamasika kuangalia hao kina Wilson, Isak, Gordon. Nataka kuwaona uchezaji wao ukoje. Je wanakabwa na mabeki watatu watatu kama kina Saka na Martinelli? Je wanapigwa mabuti na mangwara ya kutosha na refa hafanyi chochote kama kina Saka?
Hawa tutaenda nao toe to toe....watu na Nyukesto hmu walitupigia kelele lakini mpk refa akasaidia ndo tukafungwa ila vngnevyo mpk sasahv ndo tungekuwa timu pekee ambayo haijafungwa.....Sasa na Hawa Villa wanavyojua kuacha magepu nyuma basi tutaoneshana makaliHawa villa ndiyo nawaamini wanaweza kutupiga. Last season tulipambana sana ndiyo mwishowe tukawashinda. Naamini wana kipa bora, Martinez, na huenda asingetoka kupambania kona tusingewapiga goli la nne.
Leo wajue wanakutana na Arsenal ,option ya kwanza ,Saka awekewe watu wawili , hiyo watake wasitakeHawa villa ndiyo nawaamini wanaweza kutupiga. Last season tulipambana sana ndiyo mwishowe tukawashinda. Naamini wana kipa bora, Martinez, na huenda asingetoka kupambania kona tusingewapiga goli la nne.
Huyo mpuuzi namuhesabia siku tu, Sasa hivi anaingia kwenye ignore/block listHuyu kipemba wa nyukesto hua nikimpiga spana nne anajibu moja halafu anavizia usiku wa manane ndiyo anajichomoza.
Sasa leo nimemfuma nimempa spana mbili za nyongeza kakimbia. Hapo harudi hadi alfajiri