Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,106
- 3,186
Sasa best 11 unataja wachezaji wa4
Statistics zimewafanya muwe na Point ngapi mkuu🤠🤠🤠....nyny mnakimbia sanaaa...Isak anacheza sanaa....mwsho wa siku 3 bila🤠🤠.....tangu mwanzo wa msimu tunawaambia nyny bdo ni watoto wadogo mnabisha...endeleeni kukaza vichwa basiSasa unamtaja isak tena huoni aibu mkuu. Hio arsenal nzima hakuna mchezaji kama isak kama unabisha tuweke statistics hapa .
Huyo wilson mwenyewe alicheza dakika chache kuzidi jesus kamzidi mbaliii na pale Newcastle ni second striker sio main striker.
Kitu pekee unachoweza kupiga kelele nacho ni kukaa nafasi isiyo yako hapo juu.
Unapoongelea wachezaji wa Newcastle unaongelea best players nan anamweka trippier nje pale arsenal, nan anamweka bruno nje pale arsenal? Nan anamweka isak nje pale arsenal? Nan anamweka pope nje pale arsenal?
Mnajaza server na hzi picha zenu...wanafunga halafu mnakuwa nafasi ipi....mwaka jana ndo mwanzo na mwsho kupata nafasi ya kucheza UEFA...mrudi kwny uhalisia wnuNakupa na hii ambayo huijuiii tuchukue statistics za misimu 4 iliyopita kati ya jesus na wilson uone mwenywe tu View attachment 2836994
View attachment 2836995
View attachment 2836996
View attachment 2836997
Usilete comparison za players utaumia sana au unaona man city kumuuza jesus walikosea ? Wanajua kabisa hamna kazi pale .
Mchezaji kazidiwa magoli zaidi ya misimu 4 halafu unataka tulete comparisonhuyo jesus kwenu ndo main striker huku Newcastle wilson ni backup striker
Usiseme lin arsenal imekosa hao wachezaji ,sema hujui.Wewe ndo hata sijuiii unaongea ninikipindi kipi icho arsenal imecheza bila saka sijuii odergard sijuii martineli .
Newcastle ina zaidi ya 12 injuries player wewe unataja injuries za game moja moja.
Hao wachezaji unaowataja sijui martineli sijui saka wote hao nitajie mchezaji alimyezidi tu gordon magoli achana na isak na wilson.
Timu nzima Hamna mchezaji mwenye goal nyingi kumshinda gordon tu.
Ndo nilichokuambia arsenal kitu pekee unachojivunia ni kukaa hio nafaso uliyopo ambayo technicaly unapasha joto tu kiti cha watu hapo.
Hyu anajitutumua lakini ndani ya nafsi yake anajua kikundi alichochagua kumtoa mawazo kinamzidishia depression....kuna mechi hdi Trippier akawa anataka kwnda kuzichapa na mashabiki kisa wanaulizwa kwnn hamchezi vzuri tena dhidi ya kitimu kama BournemouthUsiseme lin arsenal imekosa hao wachezaji ,sema hujui.
Mnajaza server na hzi picha zenu...wanafunga halafu mnakuwa nafasi ipi....mwaka jana ndo mwanzo na mwsho kupata nafasi ya kucheza UEFA...mrudi kwny uhalisia wnu
Usiseme lin arsenal imekosa hao wachezaji ,sema hujui.
Nyekestu mmefunga goli ngapi jumla na Arsenal kafunga goli ngapi jumla mbona swali hili unalikwepa sana.Daahyaani game 1 mchezaji kukosekama ndo unapiga kelele sasa mgekuwa na majeruhi kama Newcastle si kungekuwa na vilio vikuu humu ndani View attachment 2837072
View attachment 2837073
Martineli minutes played ni 948, wilson kacheza nusu ya dakika alizocheza martineli lakini kazidiwa goal zaidi ya 5.
Halafu unakuja kutuambia martineli alikua majeruhi unawajua majeruhi wewe.
Wewe ni wakupuuza kabisa yan sentensi moja unawaweka Godon na Saka , kumbe ndo maana kuna watu umu hua hawajisumbui na wewe kabisaWewe ndo hata sijuiii unaongea ninikipindi kipi icho arsenal imecheza bila saka sijuii odergard sijuii martineli .
Newcastle ina zaidi ya 12 injuries player wewe unataja injuries za game moja moja.
Hao wachezaji unaowataja sijui martineli sijui saka wote hao nitajie mchezaji alimyezidi tu gordon magoli achana na isak na wilson.
Timu nzima Hamna mchezaji mwenye goal nyingi kumshinda gordon tu.
Ndo nilichokuambia arsenal kitu pekee unachojivunia ni kukaa hio nafaso uliyopo ambayo technicaly unapasha joto tu kiti cha watu hapo.
Nyekestu mmefunga goli ngapi jumla na Arsenal kafunga goli ngapi jumla mbona swali hili unalikwepa sana.
Hayo magoli ya mchezaji mmja mmja ndo hayakutusaidia wakati ule tupo na Auba hata UEFA hayakutupeleka.
wewe mwenye Willson + Isack mmefunga goli ngapi na mimi mwenye Nketia na Jesus nimefunga goli ngapi team kama team
wewe mwenye Pope mmefungwa goli ngapi na mimi mwenye Ramsdale nmefungwa goli ngapi team kama team ukinijibu maswali haya basi tunamaliza mjadala
Aliharibu sana alipojifanya yeye ni City lia liaChuma confirmed january kinasepa kama vip arteta akikaribishe tuView attachment 2836940
Wewe ni wakupuuza kabisa yan sentensi moja unawaweka Godon na Saka , kumbe ndo maana kuna watu umu hua hawajisumbui na wewe kabisa.
Naomba Nitajie timu kubwa iliyowahi kumtaka WilsonNakupa na hii ambayo huijuiii tuchukue statistics za misimu 4 iliyopita kati ya jesus na wilson uone mwenywe tu View attachment 2836994
View attachment 2836995
View attachment 2836996
View attachment 2836997
Usilete comparison za players utaumia sana au unaona man city kumuuza jesus walikosea ? Wanajua kabisa hamna kazi pale .
Mchezaji kazidiwa magoli zaidi ya misimu 4 halafu unataka tulete comparisonhuyo jesus kwenu ndo main striker huku Newcastle wilson ni backup striker
Arsenal ikiamua kumuuza Saka January tutamuuza kwa 120M.Kuna mwenzako humu humu alikataza nisiwe na mquoteinamletea trauma, alikua analeta maneno matupu then mimi naleta ushahidi mezani mwisho wa siku akawaka matusi kibao .
Nikuulize mpaka sasa tunavyoongea saka kamzidi nini gordon ? Kitu pekee saka alichomzidi gordon ni dakika za kucheza tu View attachment 2837080
Vitu pekee saka kamzidi gordon ni dakika za kucheza na error leading to goal.
Nitajie saka kamzidi nini gordon mpaka tunavyoongea hapa
Huyu kipemba wa nyukesto hua nikimpiga spana nne anajibu moja halafu anavizia usiku wa manane ndiyo anajichomoza.
Sasa leo nimemfuma nimempa spana mbili za nyongeza kakimbia. Hapo harudi hadi alfajiri
Arsenal wapo Makin Sana hawawezi kusajili mchezaji Kama huyu ,Pep alipigwa hapo amefikia hatua anamchezesha Stones na Akanji midfield,huyu hampi hata dakika 1Chuma confirmed january kinasepa kama vip arteta akikaribishe tuView attachment 2836940
Anamuweka sentence moja Saka na GordonHuyu kipemba wa nyukesto hua nikimpiga spana nne anajibu moja halafu anavizia usiku wa manane ndiyo anajichomoza.
Sasa leo nimemfuma nimempa spana mbili za nyongeza kakimbia. Hapo harudi hadi alfajiri