Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa hiyo miaka mliokumbuka ya akina Samir Nasri, mlikuwa na timu kweli na hamkuambulia EPL wala UCL. Cha ajabu mna imani mnabeba kombe lolote la maana na kina Nketiah.

FALSE HOPE FOOTBALL CLUB

1. Carabao cup : ❌❌❌❌
2:EPL loading : FALSE HOPE🔞
3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞
4: FA Cup : FALSE HOPE🔞
 
Hapa ndipo wenger} unamvulia kofia mzee wenger, wachezaji wengi wa kawaida ila pira ni lilikuwa linatembea hatari
 
Press za Mikel huwa sizikosi Maana zinanifundisha vingi ,jinsi ya kuwajibu watu ,

Leo kaulizwa

why Arsenal are perhaps not as fluid as last season:

"When you sit in traffic you want to go 100MPH but I have three buses & 55 taxis around me!"

Anamaanisha timu zinakaa nyuma Sana, Jana nilileta Takwimu ,tunaongoza kuwekewa low block


Dhidi ya Brentford,wachezaji 9 na GK jumla 10 ,wote wanajaa kwenye box

Wanamuacha nje ya box Mbuemo tu
 
Arteta kuhusu Saka kukabwa na wawili wawili



"He’s targeted because he’s one of the best players. I don’t know what world class means but he’s a top, top player that’s for sure.

There’s much more to come."


 
Leandro Trossard on if he can be the starting left eight(LCM)

"I think so. Like I said it’s a position I can handle. I play there in the Belgian national team as well. I need to be switched on.

But it’s based on game plan. Not every team plays the same."


[football london]
 
Wizard Trossad
 
Mikel Arteta kuhusu Trossard kutumia miguu miwili akilinganishwa na Cazorla:

“Lazima nimuone akipiga kona kwa mguu wake wa kushoto.Akifanya hivyo basi labda! Yeye ni mzuri sana lakini Santi alikuwa wakipekee."


[Arsenal]
 
Mikel Arteta on whether Zinchenko can play in midfield:

"It is a possibility, it’s a good question, because he is on it and it’s a possibility."

"He (Zinchenko)does play in that role, coming from a different position in the attacking phase. He doesn’t play there in defensive positions because we believe we have other players to do that."
 
Jurrien Timber continues to make great progress in his return from the ACL injury that he picked up on his Premier League debut.

He’s currently at London Colney doing gym work, as shown in his latest Instagram post, with him still expected to be back on the training pitch in January.
 
Mikel Arteta kuhusu kama Emile Smith Rowe na Thomas Partey wanaweza kurejea kabla ya Januari:


"Inawezekana lakini itategemea jinsi wanavyobadilika.

Emile tayari amekuwa uwanjani akifanya mazoezi ya kukimbia, kwa hivyo sijui itachukua muda gani.


“Thomas pia . Ni lazima tuhakikishe kwamba wanaporudi wanakuwa katika ubora wao pia.

"Hatutaki kuwaharakisha, lakini wakati huo huo timu inawahitaji kwa sababu kwa sasa tunakosa baadhi ya wachezaji muhimu."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…