Wapo vzr Sana ,tatizo wanakuja Emirates wakiwa bila Midfield zao muhimu 2 ,LEMINA na GOMES halafu Neto Ni injuryHii game tupambane, naimani wataingia kutukazia, game waliyompiga tott 2-1 walinitisha kwa kweli
Ndani ya box lao wako 9 lakini nyie mnaoshambulia mko 4, hao 5 wenu mmewaacha nje ya box wanafanya shughuli gani uko nyuma dhidi ya mchezaji 1 wa Brentford?
Mashabiki wa Man Utd kama huyo huwa tunawa ignore, maana hawapo kwa ajili ya kuongea mpira.Usichoelewa ni kuwa mnapojazana kwenye box la opponent mnakuwa sehemu ya ulinzi. Imagine na Arsenal wangekuwa 9 humo ndani ya box kuwe na jumla ya outfield players 18 hata hiyo space ya kushoot ama kupiga pass inatoka wapi?
Set pieces zenyewe watu hawaingii wote ndani ya box pamoja na kuwa inajulikana mpira utadondoshwa hapo golini.
Huwa nikimuona Modric uwanjani ni kama vile namuona Tom, utofauti ni majeruhi kama unavyosema, kuna kipindi tulikuwa na Tomas, hleb, Fabregas, Van persie, Adebayor, badae akaja fundi Samir Nasri. Mzee Wenger alistahili kuchukua EPL kipindi hiki, ulikuwa unapigwa mpira mwingi mno. Kuna wachezaji hatuwakumbuki sababu waliondoka vibaya ila ukweli ni kwamba Samir Nasr anajua mpira na hatujapata mchezaji kama huyu kwa muda mrefu sasa.A little Mozart.. Yule jamaa alikuwa fundi saana, uchawi majeruhi moja ya vipaji ambavyo havikufikia ubora wake halisi. Majeruhi ni adui namba oja kwa mwanamichezo.
Tomas Rosicky kipaji kikubwa na akili nyingi, yaani anachezesha timu na ukizubaa anakufunga mwenyewe, Wenger alikuwa ana jicho la kuona wachezaji yule mzee. Afu kuna Andy Arshavin pia alicheza na RosickyHuwa linanifurahisha Sana zikifika hizo dakika,halafu awepo na zinny
Ni pass after pass
Nimemkumbuka Sana Uncle Tom , yule mwamba hajui kurudisha mpira nyuma ,Ni mbele kwa mbele
Umenikumbusha samir nasri, wachezaji wenye asili ya uarabuni ni wajeuri jeuri saana hawa,Huwa nikimuona Modric uwanjani ni kama vile namuona Tom, utofauti ni majeruhi kama unavyosema, kuna kipindi tulikuwa na Tomas, hleb, Fabregas, Van persie, Adebayor, badae akaja fundi Samir Nasri. Mzee Wenger alistahili kuchukua EPL kipindi hiki, ulikuwa unapigwa mpira mwingi mno. Kuna wachezaji hatuwakumbuki sababu waliondoka vibaya ila ukweli ni kwamba Samir Nasr anajua mpira na hatujapata mchezaji kama huyu kwa muda mrefu sasa.
Kwangu mimi huyu ni moja ya viungo bora niliowaona kwa macho yangu.nilikuwa napenda zile turning zake na jinsi anvyojoin na kukontrol temple,kuficha mpira,driving speed yake kutokana na temple ya mchezo.Tomas Rosicky kipaji kikubwa na akili nyingi, yaani anachezesha timu na ukizubaa anakufunga mwenyewe, Wenger alikuwa ana jicho la kuona wachezaji yule mzee. Afu kuna Andy Arshavin pia alicheza na Rosicky
Aliwachukua akawarudisha,halafu akawamwagaUmenikumbusha samir nasri, wachezaji wenye asili ya uarabuni ni wajeuri jeuri saana hawa,
Nimekumbuka national team alivyokorofisha na th14 kisa siti
Kwa kipaji tu, samir alikuwa na kipaji kikubwa, uwezo wake wa kuficha mpira mguuni, kuna game tunawafunga man u, nadhani ndio ilikuwa debut yake, aliupiga mwingi saana.
Wenger dah,nna heshima yake kubwa.nasri akicheza LCM nilikuwa napenda sana.kasi,shooting,decision making,low-block unlocking,kukokota,vision na accuracy yakeUmenikumbusha samir nasri, wachezaji wenye asili ya uarabuni ni wajeuri jeuri saana hawa,
Nimekumbuka national team alivyokorofisha na th14 kisa siti
Kwa kipaji tu, samir alikuwa na kipaji kikubwa, uwezo wake wa kuficha mpira mguuni, kuna game tunawafunga man u, nadhani ndio ilikuwa debut yake, aliupiga mwingi saana.
Good old days mkuuUmenikumbusha samir nasri, wachezaji wenye asili ya uarabuni ni wajeuri jeuri saana hawa,
Nimekumbuka national team alivyokorofisha na th14 kisa siti
Kwa kipaji tu, samir alikuwa na kipaji kikubwa, uwezo wake wa kuficha mpira mguuni, kuna game tunawafunga man u, nadhani ndio ilikuwa debut yake, aliupiga mwingi saana.
Alikuwa fundi saana yule jamaaWenger dah,nna heshima yake kubwa.nasri akicheza LCM nilikuwa napenda sana.kasi,shooting,decision making,low-block unlocking,kukokota,vision na accuracy yake
Nasri
Ndio kiazi cha kina hatem ben arfa, alikuwa anaujua, ila nae ni jeuri pia. 😂Wenger dah,nna heshima yake kubwa.nasri akicheza LCM nilikuwa napenda sana.kasi,shooting,decision making,low-block unlocking,kukokota,vision na accuracy yake
Nasri
Kuna game tulikutana na bayern second leg uefa 2013 marchNdio kiazi cha kina hatem ben arfa, alikuwa anaujua, ila nae ni jeuri pia.
Kwenye ubora wake nilitamani itokee siku acheze arsenal.
Kuna game tulikutana na bayern second leg uefa 2013 march
First leg walitupiga 3:0 second leg waliomba po ila bahati haikuwa yetu.
KOSI LA DUNIA
lukas fabiansk
Carl jackinson
Per maertesaker
Koscienly
Kieran gibbs
Arteta
Rosisky
Aaron ramsey
Theo walcot
Olivier giroud
Ulipigwa mpira wa dunia