Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ninarudia tena

Nyukesto ni westham yenye hela.

Chura kabisa.

Eti Nyukesto ana consistency kuzidi Arsenal.

Na ole wako ujibu bila kunitag

Au sio, wewe ulimfunga huyo Newcastle? Tumepokea matokeo kwa mikono 2 bila lawama yoyote.

Lineups ya Newcastle leo kwanzia midfielders na frontline wamecheza second choice.

Tuna injuries zaidi ya 11 ambapo watu 6 ni first choice ndani ya team .

Tumekubali kabisa injuries ni part ya game ila subiri nyinyi false hopers mpate injuries visingizio vitakuwa vingi mara ooh tungebeba angekuwepo saliba mara jesus
.
 
Wewe ni simply Msengerema. Usipende kuwazoea Wanaume rijali
 
Intensity ilikuwa kubwa Sana

Arsenal ishaundwa kucheza kwa intensity ile ile week and week

Hao Kenge washukuru International break

Siuliona hata Kenge FC baada ya kucheza na Arsenal ,kilichofata ni kipigo
 
Nyota wangu wa mchezo leo ni Zinchenko.
It was one of Oleksandr Zinchenko’s best performances in an Arsenal shirt today against Burnley.

  • 90 minutes played
  • 116 touches
  • 94 passes
  • 2 key passes
  • 100% long ball accuracy
  • 1 goal
  • 100% dribble success
  • 7 aerial duels won
  • 7 ground duels won
  • 5 tackles

Incredible from the Ukrainian.
 
Ona huyu😀😀😀...nilikwambia ndani ya mechi 2 zijazo gepu litafunguka kwa Point 7 na yameshatokea....hivi kwli kbsa leo hii Manunu anakuwa juu yenu??...nilikwambia nyie mtaenda kuwafata wenzenu kina Fulham huko chinichini na ndo kinachotokea...na bdo mtadundwa sana kuku nyny
 
Timu inayolalamikia injuries ni liva, united na nyukesto. Wakati mnashinda kwa nyumbu ulikua busy kusifia kikosi kua cha second choice na kimemfunga nyumbu.

Mpaka sasa hivi nyukesto kaifunga arsenal mara 4, Arsenal kaifunga nyukesto mara 21.

Sasa trace back msimu ambao mlikua fit kisha taja kikombe mlichochukua. Chochote tu.
 
Arsenal tuna injury 6 kubwa Halafu bado tunaongoza UCL group

Tupo kwa mbio za ubingwa

Nacheka Lakini naogopa watakaporejea


Timber
Smith Rowe
Martin Ødegaard
Partey
Ben White
Jesus


Mtu akikuambia wana injury mnase vibao
 
Yule nyumbu aliyekuwa anatukana tayari kashakula ban ya mwaka mmoja

Aje na akaunti nyingine Tena
 
The Gunners wamemuweka Douglas Luiz kuwa target ya kwanza.

Hata hivyo, Luiz atalazimika kuomba kutaka kuhama ikiwa anataka kupata nafasi ya kujiunga na Arsenal - kwani Aston Villa hawana nia ya kumuuza.

[@RyanTaylorSport]
 
Brazil wamesisitiza Gabriel Jesus kujiunga na timu ya taifa na wanataka kumtathmini akiwa Brazil.

Arsenal hawajapendezwa na timu ya taifa ya Brazil , Wanaonekana kuvunja mahusihano kati ya pande zote mbili
 
Bukayo Saka amesaidia mabao yote sita(6) ya Leandro Trossard msimu huu.

Mesut Ozil anashikilia rekodi ya Arsenal kwa kutoa pasi nyingi zaidi kwa mchezaji mmoja katika msimu mmoja (7).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…