Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta:

"The way the team reacted to the second goal is phenomenal.

I really like going into the dressing room and it’s quiet because they wanted more."
 
Kenge FC wanafurahia sare na wapo nafasi ya 11

Arsenal wachezaji wamekasirika hawaongei kwa kutoa sare kwa mujibu wa Arteta na wapo nafasi ya 2
 
Best in the world, Pep, Arteta, Tuchel wote waliandaa €100m kwa ajili yake. Hii inatosha kukufunza kitu kuhusu huyu mtu.
 
Hiyo midfield ya Caicedo na Rice ingekuwa balaa, Arteta huyu mtu ana hasira sn na huu mpira. Yani Champions league unacheza na Madrid afu huwazi hata, wanyama wanachafua tu.
 
Wakati wenzetu wanasheherekea draw na wapo mikiani

Wachezaji wa Arsenal walikuwa kimya huku wakiumia kupata draw kwenye vyumba vya kubadilishia nguo
 
Achana na mambo ya Form bana, Jana Arsenal walikuwa Terrible vibaya mno lakini still waliweza ku managed to come back from 2 goals down .
Biggest rivals wako anachomoa goal 2 nyumbani kwako bado mnaona ni kitu cha kawaida.
 
Kai as CF anazidi kuonesha anatakiwa kucheza hapo


Two games in a row Kai Havertz has come on and made the difference for Arsenal…

vs Manchester City - won the knock down which lead to Gabriel Martinelli’s winner.

vs Chelsea - won the knock down before Bukayo Saka set up Leandro Trossard for the equaliser.

Kai Havertz is starting to make the difference in big moments. Very promising signs.
 
| Leandro Trossard on what changed at half-time against Chelsea:



“It’s not easy to have an explanation on that, but we just changed the gear in the second half a bit more. We played better, we were more aggressive, and you have to win your duels as well. I think we did better in the second half, and we can score goals like that.” [@arsenal]
 
Kipindi Cha pili walirudi nyuma kwa lazima

Kenge FC wapo nyumban wanachekelea sare ,
 
NILISHANGAA WHY SIO PENALTY,ILA HUWEZI ONA TUNALALAMIKA

Ruud Gullit on the Gabriel Jesus incident: “For me, this is a penalty, I can’t understand. VAR is above this studio. This is a foul. Nowhere near. This is a penalty. If you do that as an (outfield) player, it’s unbelievable. He (Jesus) can get hurt like that. I don’t understand why it’s not a penalty. You come too late and you can hurt somebody.”

Ian Wright added: “Nowhere near. He has missed the whole ball – Jesus is in and amongst the bodies, people will say ‘oh, well Jesus was nowhere near the ball’. But, at the same time, the goalkeeper has (missed the ball). It’s a foul. I haven’t got a clue what is going on anymore.”(via HITC)
 
Hiyo midfield ya Caicedo na Rice ingekuwa balaa, Arteta huyu mtu ana hasira sn na huu mpira. Yani Champions league unacheza na Madrid afu huwazi hata, wanyama wanachafua tu.
Lens 2-1 Arsenal
Sevilla anawasalimia
 
Naamini Toney/ Osimhen + Diamonde km cover ya Saliba inatufanya tuwe the invincibles again.

kuwa na Toney / Osimhen/ Ferguson basi game ya jn tungeshinda, kuwa na CF mrefu anayeweza kuwin duels kunakupa dynamic tofauti za kuplay out na kupunguza mzigo kwa his teammates, sisi hatuna proper CF, CF wetu hawawezi kudominate aerial balls na kipengele kingine ni kufumania nyavu, Victor Osimhen ni mnyama kila angle.
 
Hivi ninyi mashabiki wa Arsenal mmelogwa hamjui mpira na bado mnajadili mpira zaidi ya Arteta anayeisifia Chelsea kwa kucheza vizuri na kuwa timu kubwa

Arteta aipongeza Chelsea:

"Tulikuwa tunasogeza tu mpira bila kuwa na nia ya kuwatisha, na hilo ni jambo hatari sana kufanya dhidi ya timu bora kama Chelsea.

Hatukuweza hata kushinda mipira ya juu na kwenye maeneo yaliyobana sana tulipopata nafasi ya kufanya hivyo, walituepuka hapo, walishambulia maeneo ya wazi na ni hatari sana kwetu kwa kufanya hivyo, sifa kwao kwa sababu ni timu kubwa iliyojaa wachezaji wakubwa, inabidi kukiri hilo."
 
Huruma ni kwa wanawake na watoto, wanaume hatuhitaji huruma.
 
Invincible after playing Chelsea, Manchester United, Tottenham and Manchester City in the first 9 games.

Level on points with City at top- I will take that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…