Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naangalia mechi ya bundasliga kati FC MAINZ na FRANKFURT (marudio)
Itoshe kusema tujitahidi kuangalia na ligi zingine.kuna wachezaji wanapigania jezi ya timu yao mpaka unainjoi.
 
Mbona post imejaa uoga hii nyie subirini kesho sawa iwaingie. Usiku wa deni haukawii 😂
 
Wewe chawa wa Masingeli dawa yako ipo jikoni soon wewe na Masingeli mtalikimbia jukwaa😂
 
Niwapongeze sana wale shabik wa Gunners mlio na mtazamo tofaut na Dikteta huyu ambaye anatak kuongoza jukwaa hili kimabavu.

Kiukwl mna moyo mgumu sana kuonesha jinsi gn hampendezwi na baadhi ya mambo.

Huyu jamaa anakikundi chake kakiunda ni kdg lkn wanamlinda kweli kweli na hoja za uchwara.

Tembeeni na hashtag hii kupinga udikteta huu uchwara humu


#ArsenalFansHaveRightsToExpressTheirOpinions.
#ArsenalForAll
#CoYG
 
pls Bei ya Huyu Doku wa man city ninaemuona hapa Sasa hivi
 
Kuna sehemu niliwahi kulazimisha hoja zangu, why mnaumia kuhusu Kai ,na Mara nyingi naweka hoja ambazo kuzi defend mnashindwa mnaishia kubwabwaja


Hili jukwaa la Arsenal kusema 7hag hafai kwan 7hag anafundisha Arsenal

Achen chuki ,Kama huwez kutetea hoja zako usinichukie Mimi
 
Walipandikizwa chuki kuhusu Kai havertz Sasa wanaunga tela

Wanataka wote humu tumchukuie Kai havertz ,

Ukiweka hoja wanaleta matusi
 
Duh tayari tena namchukia Kai na ninakuchukia wewe?

This is too low.
 
Tuliza Makalio huna cha kumpangia mtu cha kuongea wote ni Arsenal fans humu hatuwezi kufanana ideas so tulia
Acha kutukana watu , na Kama Hatuwez kufanana mawazo, why mnataka wote humu tukubali Kai mbovu


Mbona tunaomkubali Kai hatuzidi watatu


Why mnaumia Sana

Je hamna hoja?
 
Umemsikiliza Mikel akiongelea kuhusu mfumo huu kwann tunaucheza ?

Ukimsikiliza utagundua a lots of fans hawajui chochote
 
Usinipakazie aisee


Mimi najiweza ,maana wengi humu Jf Wana uwezo mdogo na nilishawa prove mara kibao


So kwakuwazid hoja ndio maana unaona wanajawa chuki
 
Eti haujawai kuwa kocha ata timu ya kanisa
Humu wengi uwezo mdogo wa kufikiri

Na mara kibao nimekuwa na wa prove wrong

Kuanzia anakuja Øde,Rams

Kuna mtu humu alikuwa anakazana hataki Mikel acheze 4-3-3 anataka 4-2-3-1

Leo nae anapiga kelele Arteta acheze 4-3-3




Sasa watu Kama Hawa ni bendera fata upepo , hawana msimamo
 
Hii hapa ni kwa yeyote aliye humu ndani kwenye hili jukwaa.

Kikosi hua kinatangazwa saa moja kabla ya game.

Kocha akimpanga Kai namba yoyote iwe mid au ST wote tuje hapa tuseme kutokana na alichofanya nini pros and cons kisha mechi ianze tuangalie nani alikua sahihi.

Hii ni kwa yeyote.
 
Kesho akiwekwa Kai ushindi utakuja ila utachelewa.

Asipowekwa ni ushindi kwa uhakika zaidi
Tuache upigaji ramli

Kikos kitakachoanza kesho Ni kutokana na wachezaji mazoezini kupambania namba

Tupunguze chuki dhidi ya kai, hata Kama mchezaji humpend Basi tusifikie kupiga ramli akianza tutakawia kushinda ,

Wangapi humu mlikuwa hamtaki hata Jesus asajiliwe

Nketiah auzwe ,n.k


Leo wapo wapi
 
Gud challenge
 
Why tunapenda kuongea ushabiki ,

Partey amecheza RB kabla hata Kai hajaja Arsenal ,hii hoja yenu inaonesha mlivyo na Chuki ,Partey amekuwa Bora kwa kuoikwa Lakini Partey alipokuwa ATM alikuwa anacheza Sana Defensive Game


Ushahidi huu hapa
Mikel kasema


Mikel Arteta:

"I really like like Thomas, and yes at the end it's not my invention, Thomas Partey as a right back

Many seasons ago with Atletico Madrid with one of best defensive coaches in the world, he played as a fullback."[Hayters tv]


Kwanini Unatumia chuki kwa Kai havertz kusema anampanga Partey fullback wakati amecheza kabla ya Kai hapo Arsenal ,amecheza CB na RB kwa Simeone


Hoja Kama hizi zinawafanya mnajaza chuki


Ndio Maana nasema humu uelewa wa mpira ni mdogo Sana
 
Wewe tafuta sehemu niliyowahi sema Jesus asisajiliwe.

Nketiah mara nyingi hua nasema ana finishing kuzidi Jesus, ila link up play hamfikii hata Balogun.

Kuna game tulicheza wengi humu tukasema Nketiah kabadilika uchezaji, yaani alikua involved kuliko kawaida yake na tukasema kafanya poa.

Mimi ninachokwambia ndiyo ukweli wenyewe, Kai akianza tutachelewa. Kama unaona naongopa ngoja mechi ianze kesho
 
Kai ni mamluki toka darajani, Kai ametumwa Asenyo kwa lengo moja tu la kuishusha timu daraja.
 
Uwe unaelewa.

Ili Rice na Kai wapangwe inabidi Partey awe RB na White awe CB na Gabriel awe benchi.

DM kucheza beki ni jambo la kawaida mno kama ndiyo kwanza unaona kwa Arteta basi subiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…