Arsenal training ahead of Fulham View attachment 2727551View attachment 2727552View attachment 2727553View attachment 2727554View attachment 2727555
Hiki ndo kinapaswa kua kikosi cha kazi kaziKai ana mechi zake atacheza
Kwa Sasa naona tukirudi kwenye 4-3-3
Wengi wanasema Kurejea kwa Jesus kutafanya Kai aanze kutoa Goals & assist
Maana uchezaji wa Jesus umekuwa ukimnufaisha Martinelli Sana , wachambuzi wanasema utamnufaisha pia Kai
But for now natamani kuona lineup hii
4-3-3
Raya/Ramsdale
White Saliba Magalhaes Zinny
Ødegaard Partey Rice
Saka Jesus Martinelli
Imeshindikana na leo?? Mbona sinaona taarifa hii leoDili la kudus linachekesha Sana kila likifika mwisho Lina collapse
Its like Kuna timu anaingoja
Westham wameongeza ofa Lakini wanasema Hadi Sasa ni 50/50
Vyanzo vya Westham vinasema 50/50Imeshindikana na leo?? Mbona sinaona taarifa hii leo
Deal mbili hizi nmeenda fasta kwa pamoja kuna dalili ya ingizo jipya hivi karibuniBREAKING:
An agreement has been reached tonight between AS Monaco and Arsenal for the transfer of Folarin Balogun.
It’s a €45million deal, as per @FabriceHawkins.
Yah nataman nione deal la kudus na Beki mmoja au wawiliDeal mbili hizi nmeenda fasta kwa pamoja kuna dalili ya ingizo jipya hivi karibuni
Leo baada ya kupiga hattrickImeshindikana na leo?? Mbona sinaona taarifa hii leo
Kudus ni ngumu kwa hali ilivyofikia kwa sasa West Ham wapo hatua nzuri zaidYah nataman nione deal la kudus na Beki mmoja au wawili
Wamefika hatua nzuri, kama hadi kesho Arsenal na Chelsea hawatatia Nia Basi anaenda westhamKudus ni ngumu kwa hali ilivyofikia kwa sasa West Ham wapo hatua nzuri zaid
Kumbe na nyie mna mchezaji mwnye virasta, tuuzieni basi 200mArsenal training ahead of Fulham View attachment 2727551View attachment 2727552View attachment 2727553View attachment 2727554View attachment 2727555
Katika jambo nimewashangaa Man Utd na kisha jamii ya football ya waingereza ni issue ya Greenwood.
Kwanza huyu ni kijana mdogo ambaye bado anahitaji malezi hajafikia full maturity.
Pili issue yake sio professional bali ni issue ya discipline zaidi na pamoja na kuwa charges zote zilikuwa dropped lkn kuna sehemu mtandaoni niliona kuwa wamereconsile na yule dada na wanaendelea na mahusiano (sina hakika sana na hili)
Tatu ni kuwa ukisikiliza ile audio clip ina viashiria kuwa wote wawili walikuwa under influence of alcohol.
Nne, yaani unaruin career ya kijana mdogo vile sababu ya jambo ambalo binafsi naliona halina mazingira timilifu maana inaonekana km vile ile audio imeanzia katikati na ni km pia ilikuwa planned vile. Unajiuliza kwa ile level ya quarrels mtu anapata wapi utulivu wa kurecord tukio?
Kwa maoni yangu naona km kulikuwa na intentional provokation ili kumu-upset dogo maana tumeona athletes wengi wamekuwa victims wa matukio ya kutengeneza ili wapigwe pesa.
Finally naunga mkono hoja ya Henry 14, kwani hata me niliwaza hivyo in the first place. Huyu dogo ana pontentials za kutosha na ni proper back up ya ‘Star Boy’
Mchezaji ambaye anawasumbua kwny kusajili hasa upande wake akijifanya anazungushana na nyny kwny maslahi binafsi yake....ni kuachana naye maana anakuwa na akili mbilimbili....atawasumbuaWamefika hatua nzuri, kama hadi kesho Arsenal na Chelsea hawatatia Nia Basi anaenda westham
Hahahaha eti fainal munacheza 😂😂😂😂Umeongea uhalisia ,ndio maana Mimi naona kabisa sisi Kama Arsenal tukikaza ,fainal tunacheza
Mpinzani mkubwa namuona mancity