Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tavares anataka akacheze wpi Sasa na ule mpira wake😅😅😅....hzo ndo timu za level yake
 
Greenwood yupo available. Tumuite mezani tuongee naye.
Sisi sio nyumbu timu inaongozwa na sauti za wakinamama
Kwanza sisi wachezaji dizain ya kina greenwood ndio tunawapenda
Sitashangaa Arsenal tukimuacha kwa sababu ya scandal yake. Huenda Kila atayetaka kumgusa ataona noma. Ni rahisi zaidi mtu akiwa kwako tayari, ila akitoka kwingine Kwa scandal timu zinaweza kuogopa
 
Greenwood yupo available. Tumuite mezani tuongee naye.

Madada wa asenali watawapopoeni

Sisi sio nyumbu timu inaongozwa na sauti za wakinamama
Kwanza sisi wachezaji dizain ya kina greenwood ndio tunawapenda

Katika jambo nimewashangaa Man Utd na kisha jamii ya football ya waingereza ni issue ya Greenwood.

Kwanza huyu ni kijana mdogo ambaye bado anahitaji malezi hajafikia full maturity.

Pili issue yake sio professional bali ni issue ya discipline zaidi na pamoja na kuwa charges zote zilikuwa dropped lkn kuna sehemu mtandaoni niliona kuwa wamereconsile na yule dada na wanaendelea na mahusiano (sina hakika sana na hili)

Tatu ni kuwa ukisikiliza ile audio clip ina viashiria kuwa wote wawili walikuwa under influence of alcohol.

Nne, yaani unaruin career ya kijana mdogo vile sababu ya jambo ambalo binafsi naliona halina mazingira timilifu maana inaonekana km vile ile audio imeanzia katikati na ni km pia ilikuwa planned vile. Unajiuliza kwa ile level ya quarrels mtu anapata wapi utulivu wa kurecord tukio?

Kwa maoni yangu naona km kulikuwa na intentional provokation ili kumu-upset dogo maana tumeona athletes wengi wamekuwa victims wa matukio ya kutengeneza ili wapigwe pesa.

Finally naunga mkono hoja ya Henry 14, kwani hata me niliwaza hivyo in the first place. Huyu dogo ana pontentials za kutosha na ni proper back up ya ‘Star Boy’
 
Karibia wote hawa hawauziki mkuu unajua sisi tunaviziwaga san na wapinzani sabb tuna presha ya vikombe vikubwa mfano sasa hv tunashindwa kusajili additional player japo 1 sabb tunatakiwa tuuze kwanza tyr hilo ni tatizo hivo mauzo ya balogun na traves ndio yanategemewa zaid kupunguza players pia kubalance manunuzi yetu na hao wote ni timu zinawahtaji kam patapotea ndio maana hawapo serious san wanatubeep alafu wanatuchek tutapunguza bei au vip ndio maan ukiwachek chelsea wanauza harak haraka nakununua ndio maan tulipomtak kai havertz hawajajiuliza mara2 wakatusukumia mzigo chap tuhangaike nao
 
Monaco saw a bid rejected by Arsenal earlier in the season but talks are ongoing over an improved offer closer to the Gunners’ asking price. Arsenal expect an offer from Monaco by the end of the week.

(@SamiMokbel81_DM , @AdrianJKajumba Tier 1 )
 
Wanauzika vzr tu ,hebu fatilia vzr ,Kuna deal la Tavares lime collapse juz hapa walikuwa watoe £20-30m

Mchezaji kagoma

Soma hii, hii ni Tier 1

Arsenal are aiming to recoup £100m in player sales before the window shuts with an improved bid from Monaco expected to arrive imminently. Reports, @SamiMokbel81_DM and @AdrianJKajumba.
 
EXCLUSIVE: West Ham on verge of agreement with Ajax to sign Mohammed Kudus. Official #WHUFC bid for 23yo #Ajax attacking midfielder expected to be accepted. €41.5m + €3m + 10% sell-on. Personal terms in place on 5yr deal + option of 6th @TheAthleticFC

Huyu mwingine wamepita nae, tuanze kumzoea Pepe tu kweny RW
 
Understand Manchester City have now submitted initial bid to Wolverhampton for Matheus Nunes
#MCFC

Told proposal is in excess of €50m fee with add-ons discussed in the package.

Nunes has already accepted City as destination, personal terms agreed

dadeki huyu kipara tusipomuongezea baadhi ya wachezaji kwenye nafasi zenye uhitaji atatuuwa aiseee.
 
Wameongeza dau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…