Upo sahihi ndio maana naiona UCL league,sio ile ya miaka mitatu nyumakwa hio 250m wanayoitaka psg yawezekana unachokisema kikawa kweli
madrid wanamapengo kibao mechi iliyopita kepa kasave shots 7 na zengine 20 zikiwa off target dhidi ya Almeria hii inaonesha ni jinsi gani team ilivo pwaya upande wa defence una matobo ya kuziba
kwa hio 250m wanayoitaka psg madrid wanaweza msajili jeremie frimpong RB toka leverkusen ...alphoso davies LB wa bayern plus a world class stiker victor osimeh from Napoli
Hapo wanakuwa tena elite team
Mkuu kule Hispania kumbe ww ni Halla Madrid 🤠🤠🤠🤠....Saka Mkimtaka mlete £300million....watu hawasomi alama za nyakati kabisa....hii sio Arsenal ya wachezaji kuuzwa hovyohovyo kwa sababu timu Haina financial muscles...tunamwaga mihela sasahv...hyo mafia wenu Perez atest mitambo aone😅😅😅Hatuwezi kumnunua huyu. Labda akifika 28-30yrs huko ndiyo utaona anakubali kuondoka Arsenal, haswa kama mafanikio ya Arsenal ni finyu sana. Namuona kama Harry Kane alivyokaa na Tottenham
Au kama vp mnaweza kumstua hata tajiri miluzi ajaribu😅😅😅....Balogun wakimtaka Chesiiii ni 70 sio 50 tena...tuwape mtambo wa magoli kirahisirahisi tuMkuu kule Hispania kumbe ww ni Halla Madrid 🤠🤠🤠🤠....Saka Mkimtaka mlete £300million....watu hawasomi alama za nyakati kabisa....hii sio Arsenal ya wachezaji kuuzwa hovyohovyo kwa sababu timu Haina financial muscles...tunamwaga mihela sasahv...hyo mafia wenu Perez atest mitambo aone😅😅😅
Itakua hajuiUna habari Mbappe anakaribia kusaini mkataba mpya
Basi ngoja tuoneTrust me muda utaongea its just a matter of time
los blancos
Madrid bado wanajisuka upya waenda kufanya domination yao huko uefa sababu wana damu ya hilo kombe lakina wana lackUpo sahihi ndio maana naiona UCL league,sio ile ya miaka mitatu nyuma
Madrid,baryen, Barcelona waliokuwa magiant wamekuwa timu za kawaida Sana
Jidanganye tu hivyohivyo halafu uje ujionee mwenyewe Arsenyau anavyofungasha virago vyake mapema tu kwenye hatua ya makundi.Upo sahihi ndio maana naiona UCL league,sio ile ya miaka mitatu nyuma
Madrid,baryen, Barcelona waliokuwa magiant wamekuwa timu za kawaida Sana
Unazungumzia baryen ipi mkuuJidanganye tu hivyohivyo halafu uje ujionee mwenyewe Arsenyau anavyofungasha virago vyake mapema tu kwenye hatua ya makundi. View attachment 2725860
Umeongea uhalisia ,ndio maana Mimi naona kabisa sisi Kama Arsenal tukikaza ,fainal tunachezaMadrid bado wanajisuka upya waenda kufanya domination yao huko uefa sababu wana damu ya hilo kombe lakina wana lack
Beki na top striker kuwapeleka huko
Bayern hii ya tuchel huwez ifananisha na ile ya hans flick ilikuwa ni ya total destruction team 2019/20 walifanya balaa sio kufunga tu ni ku Dominate na kudhalilisha opponent kwanzia goup stage hadi final ni kutembeza dozi spurs ,Chelsea na Barcelona walioga magoli ya kutosha 8-2,2-7 ,7-1 hapo bayern ina watu wakazi mzee kwanzia kina Tiago alcantara Coutinho Lewandowski gnarby muller kimchi boateng alaba comanyani ilikuwa ni moto
Sio sawa na hii ya sasa moto umepungua kidogo
Barcelona haielweki unaweza iona uefa afu muda unavozidi kwenda unashtukia umewakuta Europa uko kama man utd hii mnayosema mbovu iliweza kwenda nayo toe to toe huko europa basi hashindikani uefa plus elite players wao hawazidi wa 4 pedri Lewandowski dejong terstgen
Giant pekee aliyekuwepo ni Man city huko kuna minong'ono inaendelea kua yeye pekee ndiye anaweza kufanya back to back in uefa sababu ndie the strongest of all currently na hapo hajafanya massive spending this summer
Shida ya uefa sio kuwawazia hao top elite teamsUmeongea uhalisia ,ndio maana Mimi naona kabisa sisi Kama Arsenal tukikaza ,fainal tunacheza
Mpinzani mkubwa namuona mancity
Hatuwezi kumnunua huyu. Labda akifika 28-30yrs huko ndiyo utaona anakubali kuondoka ArsenalHawezi kataa ni vile madrid bado wana option nyingine za kuziba zaidi ya RW pale madrid wana rodrgo anatosha kwa muda huu.
hio sehemu ya RW 2024/26 hapo saka ata dondokea
los blancos
😆😆😆 Mimi ni Blanco Mzee . Cha ajabu nawakubali sana Barcelona pia Kwa sababu nilikuwa namkubali Ronaldo da Lima. Alivyohamia Madrid nikahama naye na nikabaki Madrid rasmi huku Barca ikiwa namba 2. Mpaka leo nawapenda wote ila wakikutana nakuwa Madrid na ubingwa nataka achukue Madrid huku Barca akiwa wapili.Mkuu kule Hispania kumbe ww ni Halla Madrid 🤠🤠🤠🤠....Saka Mkimtaka mlete £300million....watu hawasomi alama za nyakati kabisa....hii sio Arsenal ya wachezaji kuuzwa hovyohovyo kwa sababu timu Haina financial muscles...tunamwaga mihela sasahv...hyo mafia wenu Perez atest mitambo aone😅😅😅
Balogun amekosea kutofuga virasta. Angekuwa na virasta uchwara, Miluzi angeshatupa 90 + 10 in add-ons kitambo sanaAu kama vp mnaweza kumstua hata tajiri miluzi ajaribu😅😅😅....Balogun wakimtaka Chesiiii ni 70 sio 50 tena...tuwape mtambo wa magoli kirahisirahisi tu
Kudus bei itapanda ikipelekwa Bid mwshoni mwa dirisha....I feel like anayefatia kuja ni defender....Kudus ni asilimia chache sana@FabrizioRomano: “Let’s see what happens also with Arsenal. Because Arsenal in June called for Kudus then they invested big money on Kai Havertz and all the other players they signed this summer including [Jurrien] Timber and Declan Rice.”
“So that’s why with Arsenal nothing was going to continue but never say never.
That’s why Ajax decided to wait and not accept West Ham’s proposals.”(yt via tbr)
Pepe na tierney wasalieHere's the state of play on possible Arsenal departures. After a summer spend of around £200m, the focus is now on selling those who are not in Arteta's plans.
Balogun
Tierney
Holding
Tavares
Lokonga
Pepe
Cedric
#AFC @TeleFootball
Arsenal wakiuza Pepe,balogun ,Tavares na KT , Basi tutaongeza Beki na WingerKudus bei itapanda ikipelekwa Bid mwshoni mwa dirisha....I feel like anayefatia kuja ni defender....Kudus ni asilimia chache sana
Tavares anataka akacheze wpi Sasa na ule mpira wake😅😅😅....hzo ndo timu za level yakeArsenal wakiuza Pepe,balogun ,Tavares na KT , Basi tutaongeza Beki na Winger
Why deal la kudus linafeli mara ya 2 , Brighton na Sasa Westham
Inasemekana Kuna big teams zitamaliza mchezo dk za mwisho
Tavares kakataa Kwenda Forest ilikuwa auzwe kwa £20_-30m