Kenge timu nzima itakua wodini baada ya wiki 3 Hadi 5Kwakweli Kama Hojlund ana goli 9 kauzwa €85m
Anthony masebene goli 6 aliuzwa €100m
Mount goli 1 ndani ya mwaka na nusu kauzwa €65
Namuona Arteta miaka 20 mbele akiwa na arsenal huku domination ya epl for 10+ seasons consecutiveSaka 21, Martinelli 22, Saliba 22, Timber 22
ARSENAL FUTURE IS SCARY
Kumbe ni only 5 years?Kenge timu nzima itakua wodini baada ya wiki 3 Hadi 5
Nyumbu ndio 90% ya timu ni flop kabla ligi haijaanza, automatically inawafanya 10% waonekane flop
Livepunda ndio anaitafuta nuru, huku sehemu kubwa ni wazee wakiwa wanai-run project
Naiona epl ya city na arsenal for more than 5 years
Jitahidi usome kwa umakini mkuuKumbe ni only 5 years?
Si tulikubaliana masterclass tactician Mikael Arteta anaenda kudiminate ligi for 10 years?
Nikurekebishe
Saka £250m
Martinel £195m
Odegard £200m
Saliba £120m
Timber £140m
Zinnny £180m
Saka tunamuweka sokoni, wewe Kama nyumbu ebu jipangie beindio maana kuna mashabiki wa timu nyingine huwa wanasema wanalichukulia hili jukwaa ni kama jukwaa la memes maana humu ndani kumejaa comedians.
Jitahidi usome kwa umakini mkuu
Arteta vs pep itachukua more than 5 years
Arteta as Arteta hii ligi Epl tutawawashia Moto mwanzo mwisho kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo
Hiyo itakua piga nikupige
Ikitokea tumekosa ligi, Basi tupo second place
Na haitajirud second place kwa misimu miwili mfululizo
Soma Tena x 3
Ujue kinachofanya bei za wachezaji wengine kushuka ni behaviour yao kulazimisha transfer, yaani wanaamua tu, mara anapost post ujinga!Kuna timu zinazingia Sana , €30m kwa Balogun , Hawa Monaco angekuwa Balogun kwao wangetuuzia €70-80m
Arsenal rejected 30m euros from Monaco for Balogun. Monaco not giving up as they need to replace Embolo who is injured
(@lequipe
£300m na add-ons £50mSaka tunamuweka sokoni, wewe Kama nyumbu ebu jipangie bei
10 years in rowshapo sawa nmekuelewa mkuu, maana ulivyosema miaka mitano nikashtuka kidogo nikajua umetugeuka.
Upo sahihi kabisa ,dogo Balogun nasikia Hana hata injury ,alipoanza tabia mbovu ,ndio maana hajapewa dakika , na ana mkataba wa miaka miwili, Arsenal wamemwambia ukitaka kuondoka wanaokutaka wafike Bei ,ndio anapost post mitandaonUjue kinachofanya bei za wachezaji wengine kushuka ni behaviour yao kulazimisha transfer, yaani wanaamua tu, mara anapost post ujinga!
Kama Brighton walivyomkazia Caicedo pamoja na mbwembwe zake, nasi tunatakiwa kukaza kwa hawa wajinga wakina Pepe na Balogun, mchezaji anajiamulia tu hataki mkopo anataka kuondoka mazima wakati bado ana mkataba.
Kaa kwenye fridge mpaka mkataba uishe. Iwe both parties lose, siyo one party wants gain in expense of another party.
Assume wewe ndio football director wa westaham kwa Harry Maguire una bid kwa shilingap?£300m na add-ons £50m
huyo wa miaka miwili angekuwa humble tu aendelee kucheza ili awe anajitafutia bei, atakuja kuwekwa kwenye benchi mpaka akose timu baadaye shenzy kabisaUpo sahihi kabisa ,dogo Balogun nasikia Hana hata injury ,alipoanza tabia mbovu ,ndio maana hajapewa dakika , na ana mkataba wa miaka miwili, Arsenal wamemwambia ukitaka kuondoka wanaokutaka wafike Bei ,ndio anapost post mitandaon
Pepe anataka Arsenal imvunjie mkataba ,Arsenal isipate kitu, aende akapte signing fee ,Arsenal imemwambia wanaokutaka waje mezani
Ilitokea kwa Auba ,Ozil ,waliwekwa bench na mishahara mikubwa waliendelea kulipwa £350k per week ,
Walipoona itakula kwao maana bila kucheza unapotea kabisa ,Auba akakimbilia Barcelona akaomba Arsenal imuachie ,Ozil the same
10 years in rows
FIMBO mwanzo mwisho
Nasikia magwaya mnamuuza? kwani ujinga anaoufanya Omama magwaya yeye kosa lake ni Nini lakini?
Bei reasonable kabisa ,Kama Anthony masebene aliuzwa €100m ,na alikuwa na goli 5-6£300m na add-ons £50m
Magwaya hana kosa Mkuu, shida yake ni kutaka kushindana na Masebe kwenye kufunga na kutoa assists,
Ila Magwaya assists na magoli yake ameyaelekeza zaidi kwenye nyavu ya timu yake.
Karudi kaanza kiburi anataka awe first choice , bila hivo auzwe ,Wameweka Price tag £45-50mhuyo wa miaka miwili angekuwa humble tu aendelee kucheza ili awe anajitafutia bei, atakuja kuwekwa kwenye benchi mpaka akose timu baadaye shenzy kabisa