Arteta is cooking disasterKunaweza tokea mabadiliko mkuu
Jana Timu za Spain zimemuulizia KT, so Kama mmoja wa beki wetu anaondoka ,kunakuwa na room ya kumuongezea Laporte
Huyu ni LCB, , Kiwior Kama umeona pre season,Arteta anataka amtumie zaidi LB ,
So ina make sense kusikia Arsenal ipo interested na Laporte ,
Mfano usajili wa Timber ,wengi walisema itakuwaje nafasi ya Ben white
Mwisho tumeona wanacheza wote
Shida ambayo ipo City hawawezi fanya biashara tena na sisi...waendelee kutupa silaha kwli???...Tusahau tu kwakweliLaporte ni good add kwa kweli both experience and technical
Kwangu mimi Gabriel sinaga imani nae kabisa naonaga hana utulivu wa kibeki kabisa.
JUST IN:
Arsenal and Nantes are discussing the loan details of Marquinhos and there is a possibility the move comes with an option to buy of €12m, and/or a buyback clause of €22m.
@LucaBendoni.View attachment 2711707
Anahitaji game time ya kutosha , so loan ni best kwakeLabda macho yangu yana nidanganya. I see a great potential in Marquinhos, better we retain him than to loan with option to buy.
Mwanangu Labyrinth 84 wewe Asenyo unaijua nje ndani ndio maana hii misukule inakuchukia kinyama, yaani bora hata sisi wa Unyumbuni kidogo tunapendwa.
Labyrinth usije ukathubutu kukaa meza moja na mashabiki wa Arsenyo kisha ukanyanyuka na kuwaachia glass ya maji ukaenda msalani, na ukienda kibanda umiza usikubali kukaribishwa kinywaji chochote na haya maArsenyau.
Waende tu sio ishu....naye wakimchukua anacheza mechi 2 anaumia....anakaa nje miezi 6....hii ni laana ya kuwauzia Manyumbu Mount kwa bei ya kitapeli wakati Hana lolote... Ubaya Ubaya tuKuumia kwa Nkunku Chelsea waanenda kugeukia kwa Kudus siku sio nyingi
Ni Yale mabaki aliyoyakuta Arteta ,Kama Pepe,balogun, holding,Why players wetu wana thamani ndogo katika soko la usajili?
Nimewaonea had huruma asee, hapo bado James na chillwell ,Kuumia kwa Nkunku Chelsea waanenda kugeukia kwa Kudus siku sio nyingi
NotedNi Yale mabaki aliyoyakuta Arteta ,Kama Pepe,balogun, holding,
Mchezaji Kama balogun Arsenal wamesema ni £45-50m
Mchezaji Kama Tavares ,Arteta alimsajili kwa €8m Sasa hivi thaman yake ni €15-16m
Wale wengine hawahusiki ndio maana Arsenal ndio most valuable squad in the world
Huwez sikia mtu anamuulizia Saka, martineli, Øde,Saliba, Magalhaes, Zinny, Jesus,n.k hao thaman zao ni €80-150m
NikurekebisheNi Yale mabaki aliyoyakuta Arteta ,Kama Pepe,balogun, holding,
Mchezaji Kama balogun Arsenal wamesema ni £45-50m
Mchezaji Kama Tavares ,Arteta alimsajili kwa €8m Sasa hivi thaman yake ni €15-16m
Wale wengine hawahusiki ndio maana Arsenal ndio most valuable squad in the world
Huwez sikia mtu anamuulizia Saka, martineli, Øde,Saliba, Magalhaes, Zinny, Jesus,n.k hao thaman zao ni €80-150m
Waumie tu kwakweli....Ili azidi kuingia sokoni...Nimewaonea had huruma asee, hapo bado James na chillwell ,
Kwakweli Kama Hojlund ana goli 9 kauzwa €85mNikurekebishe
Saka £250m
Martinel £195m
Odegard £200m
Saliba £120m
Timber £140m
Zinnny £180m