Werder Bremen and Wolfsburg interested in Arsenal left-back Nuno Tavares.
Tavares, who Arsenal value around £13m, is attracting interest from clubs in England and Italy, as well as the from the two Bundesliga clubs
SkySportsNews
skysports.com/transfer-centre
Kunaweza tokea mabadiliko mkuuMkuu huyu Laporte anakuja arsenal kucheza wapi?
Au tunatumika kumprice-up ili wampige Spurs ?
Anajifanya muhuni bwana mdogo🤣🤣🤣ARSENAL YAMGOMEA PEPE KUVUNJA MKATABA
Pepe amemalizana na Besiktas ,wakala wa Pepe amewaahidi besiktas atafanikisha kuvunja mkataba na Arsenal ili aende free wakapate signing fee
Arsenal imegoma ikitaka Besiktas waje mezani ,na sio Pepe aondoke bure bila klabu kupata chochote
Bado Laporte ana udambwidambwi kwli???....kule nyuma ukiwa na mijitu yte yenye nguvu na kazi nzito unakuwa unaangalia mpira una enjoy tuKunaweza tokea mabadiliko mkuu
Jana Timu za Spain zimemuulizia KT, so Kama mmoja wa beki wetu anaondoka ,kunakuwa na room ya kumuongezea Laporte
Huyu ni LCB, , Kiwior Kama umeona pre season,Arteta anataka amtumie zaidi LB ,
So ina make sense kusikia Arsenal ipo interested na Laporte ,
Mfano usajili wa Timber ,wengi walisema itakuwaje nafasi ya Ben white
Mwisho tumeona wanacheza wote
Wanajifanya wahuni na wakala wake ,Arsenal imekaa kimya so wakawa na matumaini Arsenal itawavunjia mkataba ,but Arsenal wameshtuka wanataka wakapate signing fee besiktasAnajifanya muhuni bwana mdogo
Sijamuangalia muda ,ila kwa backup sio mbaya , atauzwa Bei ndogo maana haitajiki wameshasajili beki mpyaBado Laporte ana udambwidambwi kwli???....kule nyuma ukiwa na mijitu yte yenye nguvu na kazi nzito unakuwa unaangalia mpira una enjoy tu
Ila kwa walichokutana nacho kwny mechi ya juzi....sidhani kama watatuuzia....ile biashara ya Jesus na Zinchenko ndo mwanzo na mwsho wa sisi na City🤣🤣🤣Sijamuangalia muda ,ila kwa backup sio mbaya , atauzwa Bei ndogo maana haitajiki wameshasajili beki mpya
Watafanya ngumu Sana ,wanaweza muuza kwa wengineIla kwa walichokutana nacho kwny mechi ya juzi....sidhani kama watatuuzia....ile biashara ya Jesus na Zinchenko ndo mwanzo na mwsho wa sisi na City