Kwani nyinyi wenzangu mnaangalia mpira gani wa Arsenal ambao Kai kacheza vizuri? Ambao kapress?
Hizo pasi ambazo Ortega anapiga katikati a proper false 9 yupo pale unadhani angepiga?
False 9 anatakiwa avute beki ili wings zisqueeze space na mid ije kuvizia chances.
Kai anafanya hayo?