Tunapoteza ndani ya 90 au kushinda ndani ya 90 nothing morePamoja mkuu ila Penati hatufiki Hawa leo ama zao ama zetu ,mech inaisha 90mins
Pamoja mkuu ila Penati hatufiki Hawa leo ama zao ama zetu ,mech inaisha 90mins
Piga spana hawa kuku wa maziwa hasa man u ya 7hagHakuna mtu wakumkimbia Jf humu ,Mimi nimeishi na wahuni ,nimeishi misheni kwa mapadri pia ,huwa nawaacha mtoe nyongo zenu na matusi ,
Safari hii nakula sahan moja na wahuni wote , maana kuishi na wehu tunaweza
Hata Twitter , fan base zinazosumbuana Sana ni manjesta vs ArsenalKwao kumepoa mkuu usimlaumu.hatujabeba epl for 20years ila jukwaa lipo juuu.ndo maana mkuu Flano anaombea tusibebe ubingwa maana mitaa na majukwaa yatapata shida.
We know how to enjoy every moment of the game
Huna timu Baba, Huna team.Naona unaongea pumba ,ngoja nikupuuze nikuchukulie Kama mgonjwa wa akili
Hasira za timu yako kushindwa kusajili usizimalizie huku ,
Tunavyojadili usajili na timu yetu unaumia Sana
Rasmi nakuchukulia Kama mgonjwa wa akili au mwenye Sonoma , nakupuuza
Maoni yako tu mkuu wala hatuna shida nayo.endelea kumwagikaHii haifanyi ukweli ubadilike kuwa UEFA hamtoboi 1/4 na CS leo mnachapwa na PL hamtoboi top 5.
Sababu unakikosi cha kuunga unga
Ndio uhalisia , wala sio maoni mkuu.Maoni yako tu mkuu wala hatuna shida nayo.endelea kumwagika
Hizi ramli sasa we bado kijana achana na kazi ya ugangaHamtoke leo.
Beki Gabriel(KICHWA CHA BATA) hawezi kuzuia zile force king za Citizen.
Kiungo Partey mla urojo( miguu ya biskuti)
Ila wakianza kumfundisha mpira wa Fujo mara kuingia uvunguni mara kucheza karate...tutampoteza kijana maana yule mzuri sana kwenye mikimbio sio fujofujo😅😅😅Wampe muda mbona huyu freemason ni scholes mpya
Ngoja ligi ianze mkuu wana mason kilimanjaro anamikimbio mizuri saanaBest goal keeper Epl
Nyumbuz wanajisikiaje wakiona hii habari kwa Omama wao?
Hana hoja anataka tushindane ujinga, wakati tuna mambo muhimu ya timu yetu kujadiliHizi ramli sasa we bado kijana achana na kazi ya uganga
Wajinga sana...kwa Lukaku walivyoona tu wenzao Juve nao wameingia ulingoni wakanuna....Sasa sijui wanadhani kwa miaka hii wacheza wa buku jero utapata wapiHakuna biashara ngumu Kama kufanya na timu za Italy
Inter Milan sold Onana for €55m, A Goalkeeper they got for free last year, then they will come begging Arsenal with €25m for Balogun
I cannot stand Serie A clubs
Mkuu usipost haya mambo hujui Flano anataka na rice awe kama sancho au wighorst mzee wa mikimbio mizuri.?jamaa mimi nampa mwaka kabisa najua atapafomu tuuKuna kitu ulizungumza juzi kuhusu Rice
| Gary Lineker: “A lot of players who move for big money struggle to cope with their price tag but I don’t think that’ll be the case with ex-West Ham skipper Declan Rice.
“He is an exceptional player — a holding midfielder but also far more than that. Rice is a real leader, who will run all day, a player who can break the lines and make things happen with the ball at his feet.
“Of course, £105million is a massive fee but he will not have the same pressure as a forward player who moves for big money because they are constantly judged on their scoring record.
“I’d like to see Rice add more goals to his game but nobody is expecting that of him.” [@TheSunFootball] #afc
Mwache anapunguza uchungu wa timu yake.maana kinachoenda kutokea anakijuaEti KICHWA CHA BATA
Mzee inatosha ushapiga domo sana tupumzishe na Arsenal yetu tangu asubuhi unatujazia notification za kipuuzi
Another sabitizer in the makingIla wakianza kumfundisha mpira wa Fujo mara kuingia uvunguni mara kucheza karate...tutampoteza kijana maana yule mzuri sana kwenye mikimbio sio fujofujo
Wapuuzi bahili mno kwenye kununua na wana tamaa mno kwenye kuuzaHakuna biashara ngumu Kama kufanya na timu za Italy
Inter Milan sold Onana for €55m, A Goalkeeper they got for free last year, then they will come begging Arsenal with €25m for Balogun
I cannot stand Serie A clubs
Flano ni nyumbu aliekomaa akiamua kusimamia ujinga huwa haambilikiKwao kumepoa mkuu usimlaumu.hatujabeba epl for 20years ila jukwaa lipo juuu.ndo maana mkuu Flano anaombea tusibebe ubingwa maana mitaa na majukwaa yatapata shida.
We know how to enjoy every moment of the game