Arsenal (The Gunners) | Special Thread

“Gabi didn’t score but it was the best Gabi I’ve seen for months. The energy, belief - He was creating a lot of chaos and good moments. He was making everyone better.”

Mikel Arteta on Gabriel Jesus against Barcelona.
 
Smith Rowe looks really sharp against barca. The battle for that LCM spot is going to be fierce.

Havertz,

Esr,

Trossard.

Bring it on!
 
Kwangu mimi namuona ni potential player.
Anahitaji kuongeza vitu vifuatavyo

Physical game
Reasonable movement nje ya kumi na nane
Defensive awareness of the ball
Utilization of chances created
Aache uvivu

Muangalie off the ball na akiwa na mpira

Off the ball anarudi katikati kufanya double pivot

Hivi kwanini most wanasema mvivu ni jinsi alivyo anaonekana lain ?

Kwenye pass za mbele naona yupo vzr ,

Mpira wake ni soft Sana , so naona Kuna game hazitamfaa
 
Sahihi,
Mimi namuona fabio vieira kama ataongeza physicality kwenye game yake
Akaboresha defense game yake anaweza kucheza kwa kiwango karibia na bernado silva
 
Sahihi,
Mimi namuona fabio vieira kama ataongeza physicality kwenye game yake
Akaboresha defense game yake anaweza kucheza kwa kiwango karibia na bernado silva
Wamuangalie saka kaongeza mwili ,Kuna push alimpa Alonso ,
 
Kama umeangalia mpira wao ndio wamecheza rafu mbaya Sana , hasa araujo

Xavi anachosema hasa ni kuwa Arsenal walicheza kwa intensity kubwa
Kila mech ina umuhimu mkubwa kwa wachezaji kuliko kwa kocha.
Kumbuka kuelekea msimu mpya kuna vita kubwa kwenye nafasi zifuatazo
LCM
RB
LB
kwa hiyo kila dakika anayopata mchezaji anajaribu kumshawishi kocha .ndiyo maana friendly ni kama vita
 
Barca walikua na mtu anaitwa Franck Kessie

Mid mzuri tangu Milan

Anatuliza dimba, flexible, agile, strong ila wamemshindwa
 
Lisandro Martinez alitaka kumvunja Bellingham

Siku kadhaa nyuma alitaka kumvunja Saka
 
Gabi ni mnyama, kwangu huyu ni bora kuwa nae, nashangaa watu wanapiga kelele osimhen😂
 
Brighton wamewakazia Chelsea wanataka £100m , Hawa jamaa wagumu Sana kufanya nao biashara

No real breakthrough or development on Moises Caicedo for Chelsea; to my understanding, Chelsea have had THREE bids turned down by Brighton worth £60, £65, and then £70 million.

Chelsea are knocking, but Brighton won't open the door.

#CFC

(@David_Ornstein via @FIVEUK)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…