Ndomana nikauliza namie, aliekwambia $1.5B ni sawa na Trillion 1.5 ni Nani?Angalia vzr ni €700m ,ndio nilikadiria Kama 1.5 Trillion
Kwenye makaratasi huwa wanasema hivo kuwa ana utajiri huo na kamzidi bakhesa ,but kwa makadirio nilimuweka sawa na huo maana huo wa Mo sio cash, mbappe angekubali hiyo 1.5T angeipata cash bila kujumuisha assets zozoteNdomana nikauliza namie, aliekwambia $1.5B ni sawa na Trillion 1.5 ni Nani?
Umesema ni sawa na utajiiri wa Mo, sasa Mo ana utajiri wa $1.5 billion, kwahiyo kwa hesabu zako hizo hela ni sawa na 1.5 Trillion?
Mo yupo na €1.35B, mara mbili ya iyo 700Angalia vzr ni €700m ,ndio nilikadiria Kama 1.5 Trillion
Ana kashfa ya kuwahonga Forbes wamuwekee data hizo, ambazo anakuwa juu hata ya bakhresaMo yupo na €1.35B, mara mbili ya iyo 700
Including assetMo yupo na €1.35B, mara mbili ya iyo 700
Inamaana kocha anatudanganya ama...maana hzi statement za little muscular issue sijui mara nn zimekuwa nyng sana...tunamuhitaji hyu muhuni uwanjani mapema sana...pale Arsenal hyu ndo mchezaji anayeongoza kuwa na miakili mingi uwanjani....hahahahaZinny kapona sema naona hawataki kumuwaisha,sababu Kuna wengi wanachafua position yake ,like leo kacheza Timber , ataanza kucheza ,
Hype ilikua kipindi cha usajili.Timber is playing at Leftback and is the best player on the pitch
Raphina Hana tofauti na Anthony masebene
Mi hua napenda ile spirit yake ya kupambana + speed. Kiwango kushake n kawaida kwa wachezaj woteHype ilikua kipindi cha usajili.
Alivyofika Barca nini kikatokea?
Yaani hamis77 jinsi unavyomkubali Kai Harvez hua najikuta nacheka tu, kama mimi ninavyomkubali Antony Masebene.
Masingeli hio Avatar ya Kai naomba usiitoe mpaka msimu uishe.
Kai nilitaman Sana aje ARSENAL kipind yupo Bayer Leverkusen , shida ikaja wakata €100m , Arsenal tukashindwa Bei na alikuwa ndie awe mrith wa Ozil
Wanaomponda Kai wanamchukulia kuanzia Chelsea sababu anaoneka haja perform inavyotakiwa
Ishu siyo kiwango kushake ishu ni kwamba je kilikuepo hicho kiwango cha kushake?Mi hua napenda ile spirit yake ya kupambana + speed. Kiwango kushake n kawaida kwa wachezaj wote
Mkuu nimecheka Hadi nimepaliwa na chakulaMkuu Hilo neno "kuoverload" nyumbuz wakilisikia wanapata makasiriko makubwa sanaaaaa
ndio maana nikasema kwa Kai hauna tofauti yoyote na mimi kwa Masebene.
Binafsi mpaka leo hii mimi bado namkubali kinyama Masebe yaani huniambii kitu hata akivurunda, Wakati tunamtoa Ajax mimi niliwakikishia watu kua Masebene ndio mrithi halali wa Ronaldo, hicho ndio nakiona pia kwako kwa huyo Chai Kiazi.
Mimi mwenyewe nataka nione Kai wa liverkusen akifeliKai nilitaman Sana aje ARSENAL kipind yupo Bayer Leverkusen , shida ikaja wakata €100m , Arsenal tukashindwa Bei na alikuwa ndie awe mrith wa Ozil
Wanaomponda Kai wanamchukulia kuanzia Chelsea sababu anaoneka haja perform inavyotakiwa
Watu waelewe tumetoa £65m kununua Talent , ni Kaz ya mwalimu Sasa kuifufuaMimi mwenyewe nataka nione Kai wa liverkusen akifeli
Kati wa kutokea ukengeni fc Mimi simtambui
Kama wamegoma kumuuza waterminate mkataba wake, hamna kitu pale
Hadi leo yupo kwenye squad yetu Holding na Nketiah inabidi waondoke tuHolding ni yule yule goli limepita kwake
Arteta alikataa juz £2.5m ya. Besiktas akitegemea Kuna timu zitapanda Bei
Ataikumbuka hiyo £2.5m