Kwa hili pira nilililoliona hapa [emoji23][emoji23] itoshe kusema upepo wa arsenal ulikua last season and they bottled it. Leicester upepo ulimjia akafanya kweliii lakini hawa wenzangu hata pasi hawawezi kabisa maboko kama yote . Pira bovu ndani ya dk 25 MLS wamefika golini mara nyingi zaidi ya bottlers.
Niwahakikishie kabisa wanangu kina mkohoti , flano na wengine wote kuwa humu ifikapo september kijana wetu mpendwa atakua tayariii kashakimbia yupo mafichoni wala hatuhitaji kufika January or April.
Huyu viera alisajiliwa kwa bei gani [emoji23][emoji23] huyu hata championship tu hawezi kucheza mtaliii huyu [emoji23][emoji23]
Timber na Rice naona wanashangaa tu hawaamini wapo phase 4 ama ni phase 1 wanaona kabisa si akili zao kuwepo hapo arteta kawapiga juju.
Puig alieachwa na barca dimba kalishikilia vile sasa huko uefa si mnaenda kuleta vifo vingine vya arsenal fans wa kenya