Rice asipotambulishwa leo niulizwe MimiPhotoshop.
Kai mlenda mlenda sioni akitobia EPL mnataka mumtumie LCM huku kai huku Odegard hamtaamini kitachowapata. Wakati huo mnaendelea kumjaribu kwenye nafasi mbali mbali ili azoee huku Manu, Liver na City wanatia kaziKai anacheza nafasi nyingi , soon utaona atacheza wapi
Wachezaji wote anasajili Arteta wanacheza nafasi Zaid ya moja , ni lazima mtafutie nafasi sahihi aendane na wenzie
Sitashangaa akianzia bench taratibu kabla hajawa starter
Imetokea hivo kwa wengi aliowasajili Arteta
SawaKai mlenda mlenda sioni akitobia EPL mnataka mumtumie LCM huku kai huku Odegard hamtaamini kitachowapata. Wakati huo mnaendelea kumjaribu kwenye nafasi mbali mbali ili azoee huku Manu, Liver na City wanatia kazi
Hapo kwnye Man U edit weka hata Fulham sio hayo Manyumbu...Kai mlenda mlenda sioni akitobia EPL mnataka mumtumie LCM huku kai huku Odegard hamtaamini kitachowapata. Wakati huo mnaendelea kumjaribu kwenye nafasi mbali mbali ili azoee huku Manu, Liver na City wanatia kazi
Manu anamaliza juu ya Arsenal time will tellHapo kwnye Man U edit weka hata Fulham sio hayo Manyumbu...
Umeshapata kifungua kinywa mkuu maana unaongea ujinga flani ambao hata mtoto mdogo hawezi kuuongea...hii Man U ya Sanchoka na Antony masebene...imalize juu yetu....May tutakumbushana hii kituManu anamaliza juu ya Arsenal time will tell
Una sababu za kusindikiza haya maneno yako au ni hisia zako Tu?Manu anamaliza juu ya Arsenal time will tell
Tukutane MayUna sababu za kusindikiza haya maneno yako au ni hisia zako Tu?
Mkuu huoni kama kimpira ulitakiwa kutoa uchambuzi wako kwann unaamini itakuwa hivoTukutane May
Bila uchambuzi ,analysis ,unaonekana unaropoka tuManu anamaliza juu ya Arsenal time will tell
Wachezaji wa Arse8 wanaoingua kwenye squad ya Mashetani wekundu ni Saka,Saliba,Ramsdale, Odegard na Jesus n nikipanda combined XI
Ramsadale,Shaw,Martinez,Saliba, AWB,Casemiro,Bruno,Odegard,Rashford,Anthony,Jesus
Basi acha kupiga mboyoyo tusubiri ligi ianzeKutoa uchambuzi kwenu ni kupoteza muda sababu kihisia mmeshajipatia kombe tayari. Ila kiuhalisia mna kikosi cha kawaida kama cha Manu tu mtu pekee atakaenisumbua ni Liver na Mwaciry