999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 875
- 1,629
Huyu dogo bado Nina Imani naye, sitaki auzweTavares umemsahau
Generally timu kubwa malengo hua yanakuaSawa !! Tusubiri phase 4 ianze hapo August, malengo ya phase 4 ni yapi mwaka huu ili tujue mapema sisi mashabiki wachanga tusiweke big hope yakatoke ya april & may
Kama Timber inaonekana ni sahihi kuwepo hata huyu ni sahihiHuyu dogo bado Nina Imani naye, sitaki auzwe
Generally timu kubwa malengo hua yanakua
1) Ligi
2) UEFA/ Europa
3) FA
4) Carabao
Ila kutokana na uhalisia wa kikosi malengo yanaweza kubadilika. Kutoka ligi mpaka top four
Wanamtoa mkopo au kuuzwa huyuTavares umemsahau
Huyo jamaa anaponda Arsenal tu ,alidai amehamia city ,lakin Kaz yake ni kuponda kila kitu kuhusu Arsenal ,Baada ya debut mechi iliyofuata alicheza Nuremberg?
Tulioangalia debut na mechi zilizofuata tunakubaliana kwamba debut alikua hovyo ila akaimprove hatusemi kawa world class
.
Ila kaimprove. Hatujamfananisha na Stones wala Ake
Mara mshabiki mchanga mara amehamia city , hakuna jema kwa ArsenalGenerally timu kubwa malengo hua yanakua
1) Ligi
2) UEFA/ Europa
3) FA
4) Carabao
Ila kutokana na uhalisia wa kikosi malengo yanaweza kubadilika. Kutoka ligi mpaka top four
Photoshop.Sisi Wana Arsenal tuna credible source za uhakika , Rice ameondoka na jet yupo London ,anatambulishwa kesho
Leaked photo of Declan Rice at London Colney today.
Via @Gunnersc0m
View attachment 2688308
Siku hizi wachawi sio wazee tenaZa chini ya kapeti dili la Rice limeyeyuka Arsenal soon atageukia option B.
Za chini ya kapeti Arsenal mmetema ndoano✍🏽Siku hizi wachawi sio wazee tena
Mkubalie tu mkuu...afurahi na yy kwmba imeshindikana arsenal kumpata Rice....maana usikute yy ana reporter wake yko ndanindani huko anampenyezea hzo habariSiku hizi wachawi sio wazee tena
Yenyewe ,tunamtaambulisha leoPhotoshop.
Kai anacheza nafasi nyingi , soon utaona atacheza wapiKatoa £65m na hajui amtumie wapi. Huyu mlenda Havertz mpaka anaondoka Chelsea hakuna position aliyofit vizuri. Ikumbukwe wachezaji wengi walipotoka Chelsea kwenda Arsenal waliishia kuwa flops. New flop in town only time will tell.
Mikel Arteta on Havertz "We have to see how he adapts and obviously get to know each other and build relationships. Football is about that and time will tell where he fits in best"