Gabriel Jesus ana goal 20+ asipofikisha niulizwe MimiKai atapiga G/A 15 asipofikisha niulizwe Mimi
We are blessed kabisa winga wa kulia Saka halafu winga wa kushoto Martinelli, Kuna timu winga wao wote masharobaroo tattoo nyingi kuliko magoliView attachment 2684598
Ukiwacheki kwenye wings Wana Antony Masebene na yule bonge Sanchoka. Mbele yule Goliati ajiiate ghost, nyuma Halima gwaya. Sema huyu magwaya wanakosea kumpanga beki, wanatakiwa wamueke golini adake maana kichwa tu kile kinacover zaidi ya robo ya goli. Kwa mastrikers kama kina Darwin jamaa Hana hata haja ya kusogea, kila shot wakipiga ni nje au ikiwa on target basi inamgonga magwaya kichwa
Ila manjesta mna wachezaji wengi wa ovyoHalimagwaya msimu uliopita ameonyesha uwezo mkubwa sana wa kufumania nyavu, msimu huu 7hag anamchezesha CF asipofunga zaidi ya goli 20+ aulizwe hamis77
Huyu jamaa angepiga goals 20 , Safari hii atulie tuGabriel Jesus ana goal 20+ asipofikisha niulizwe Mimi
Katika combo za midfielders yenu odegard ni masterpiece
Huyo odegard ni hatari sana kwenye penetration passes ambayo ndio key factor ku-unlock defense ya timu pinzani
Kai na odegard
Hawa watashirikiana kupiga hizo penetration passes na mikimbio kitu ambacho msimu uliopita alikua anafanya odegard peke yake, xhaka hakuwa vizuri kwenye hili eneo
Kai na odegard
Nyuma yao Kuna rice/partey kuwahakikishia usalama
Zinchenko na timber wanakuja kuungana na rice/partey ku-solid midfielders
Saka na martinel kazi yao kuu itakua kuwatoa ulimi watu
I feel sorry kwa nyumbu na chelkenge for what gonna happen very soon
Ukiwacheki kwenye wings Wana Antony Masebene na yule bonge Sanchoka. Mbele yule Goliati ajiiate ghost, nyuma Halima gwaya. Sema huyu magwaya wanakosea kumpanga beki, wanatakiwa wamueke golini adake maana kichwa tu kile kinacover zaidi ya robo ya goli. Kwa mastrikers kama kina Darwin jamaa Hana hata haja ya kusogea, kila shot wakipiga ni nje au ikiwa on target basi inamgonga magwaya kichwa
Ukiwa mtu wa mpira hili lazima ulione, mkuu agiza wine hapoHapa niwapongeze tena kwa mara ya pili tena. Kati ya Usajili kutoka Chelsea mtakao uona wa mafanikio ni hiyo ya Kai. Kama mtamchezesha kai namba kumi au nane mtaona yule kai wa Liverkusen Og.
Hongereni sana
Ukiwa mtu wa mpira hili lazima ulione, mkuu agiza wine hapo
Na kitu ambacho wengi hamjakijua tupo phase ya 4 ya trust the process. Phase zipi 5 na mbili za bonus
Arteta is going to dominate EPL for 10 consecutive seasons
Mathematical we are ahead of time
.
Kuna watu wameamua kujitoa tu ufaham ndio wanatupigia kelele hasa hasa hawa nyumbu