Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kenge wa darajan jiandaen kushuka daraja na kugawa points 6 Tena kwa msimu wa 3 mfululizo ,
Tukishuka daraja basi na nyie kondoo tutashuka wote, kawaiada yenu kupga kelele kwnye usajili, upepo wa msimu uliopita usidhan na msimu huu utakuja. Nimeshasema hapa mkimaliza top4 hapa jf nipgwe ban y maisha.
 
@Flano allypipi kwa Arsenal hii mnaweza leta team yenu unga unga mwana kwl uwanjan ndg zng?

Teta ball ya saiv itakua kila mtu anaiogopa sio ktt kbs


Kwa Arsenal hii wapewe kombe lao mapema
 
|| RB Leipzig could chase Folarin Balogun if their pursuit of Loïs Openda doesn’t come off. Leipzig had a fourth bid of €43.5m (£37.2m) rejected by Lens for Openda and could now turn to Balogun

[Via - @BILD].
 
Arteta amekamilisha ndoto ya Arsene Wenger

Wenger alimtaka Declan Rice

Arsenal academy U18 ilicheza na Westham academy U18 , Wenger akasema nimemuona mchezaji mmoja mwenye Uwezo mkubwa naye Ni Declan Rice ,kipindi hicho akicheza Kama beki wa Kati


Mwaka mmoja baadae Arsene Wenger alimuhitaji lakini hakumpata

Now Mikel Arteta amekamilisha Ndoto ya Arsene Wenger
 
Arsenal linked with Real Madrid's Tchouameni amidst Mbappe Transfer Saga

Kylian Mbappe's potential move away from PSG might trigger a transfer chain, opening up Arsenal's opportunity to land Aurelien Tchouameni, reports Football London.

Real Madrid might consider offloading the highly rated midfielder to finance the Mbappe transfer, but the Gunners would need to meet their hefty valuation of between £68m-£85m.

Should Arsenal decide to meet Real's price, Tchouameni's addition could be a significant boost to their midfield. Keep an eye on this ripple effect in the transfer market! #AFC #TransferNews
 
This is massive


Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
dullyJr
Aaron Arsenal
Hawa ndio Arsenal Fans lialia humu na league itakapoanza watarudi kui support Gunners.

Mamluki muda wao wa kukimbia humu una karibia.
Tupo mkuu,

Tunapiga miruzi,huku tumepiga nne kishua...
Si unajua ukiwa na uhakika.....
Tunajiandaa kwa paredi la ubingwa


COYG

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Footballlondon maneno huwa ni mengi
 
Nyie kweli kondoo, ndio mnavyodanganyana.
We kenge, hiyo ndo maana ya project. Club inarudishwa kwenye position yake step by step. Now tunaingia phase4.

Siyo nyie mnaamua kurundika wachezaji wapya alafu mnasema mna project
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…