Arsenal (The Gunners) | Special Thread

William Saliba on the new season:



“I’m so, so, so hungry because I didn’t play for four months & I didn’t help my team. I hope I won’t have an injury this season, to be here the full season with the team. I can’t wait to be on the pitch.”
 
 
Yeye na Nketiah mmoja inabidi aondoke

Tatizo anataka nafasi kikos Cha kwanza ,hata Patino pia anataka hivo ,hawataki kuvumilia

Ndio maana yeye na Nketiah inabid mmoja aondoke

CF kuna Jesus , Kai , Nketiah, Trossard
Patino bado sana huyo.
 
NnYeye na Nketiah mmoja inabidi aondoke

Tatizo anataka nafasi kikos Cha kwanza ,hata Patino pia anataka hivo ,hawataki kuvumilia

Ndio maana yeye na Nketiah inabid mmoja aondoke

CF kuna Jesus , Kai , Nketiah, Trossard
After all Patino ni kiungo.
 
Ligi inaanza hata top 6 hamkutuweka

Hamuoni nyie ndio mliaibika

Kama Chelsea waliotumia £600m mwisho wakagombea kushuka daraja
Kwa hio zile Hashtag zenu za

#Asenyo Ndoo
#Haaland Kiatu

Zilikua ni za kuwahadaa tu mashabiki wa Arsenyau?

Ila mzee baba kwa nini baada ya kuanza kupigwa comebacks na kina Westham ulikimbia jukwaa na kwenda kujificha kusikojulikana na kusababisha taharuki kubwa mpaka mashabiki wenzio wakaanza kukutuhumu kua wewe ni mhaini?
 
Sidhan Kama unajua ratiba yangu yote , ila nadhan unaulizia kuja kujibishana matusi na nyie wenye hasira maana ligi inaanza manjesta simlikuwa mnasema Ni Title contender

Arsenal tulikuwa kwenye mbio za Ubingwa na msimu huu tunarudi kuanzia tulipoishia

Manjesta kazi mnayo jiandaen kuachia points 6
 
Fabio Vieira hatakwenda kwa mkopo katika msimu wa 2023/24. Mikel Arteta anajilaumu MWENYEWE kwa kukosa kumuendeleza

[@kayakaynak97/@football_ld
 
Mwaka huu tunabeba points 6 kwa manjesta


Mwaka Jana tumewapiga Goli pale kwao yule Refa akalikataa , Partey hakuwepo ,

Safari hii tupo kamili ,Sion sababu yakutochukua points 6 kwa hawa jamaa
 
Declan Rice has known Arteta’s plan for him since the pair met early this year & other suitors were always playing catch-up. Arteta wants Rice to be the linchpin for an evolved version of the 4-3-3 that served Arsenal so well last season.

[@NickAmes82]
 
Arteta believes Rice’s physicality, running & defensive conscience will allow those around him greater freedom of expression but also thinks Rice, playing in a more consistently front-footed side than West Ham, has the capacity to develop his attacking game.

[@NickAmes82] #afc
 
Declan Rice alifahamu mpango wa Mikel Arteta tangu wawili hao walipokutana mapema mwaka huu .

Arteta anataka Rice awe kinara wa toleo jipya la 4-3-3 ndani ya Arsenal.

Anaamini umbile lake Rice , dhamiri ya kukimbia sana na kujilinda itawaruhusu wale walio karibu yake (Odegaard na Kai havertz) uhuru zaidi wa kucheza lakini pia anadhani Rice, anaweza kucheza katika upande wa mbele zaidi kuliko alivyotumika West Ham, ana uwezo wa kujiendeleza kwenye eneo la kushambulia.

[@NickAmes82
 
Kama Xhaka ameuzwa Partey abaki....wasivuruge kiungo chte cha msimu ulopita....Lavia anaweza kuja ku take over kuanzia msimu ujao maana bdo ana miaka 19 tu...na tunahitaji winger mwingine upande wa Saka...Nelson peke yke hatoshi baada ya hapo we are good to go
 
Partey naona tunabaki nae msimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…