matajiri wembamba Wana gubu Sana halafu wabahili
Moja ya sajili za kitapeli zakukumbukwa EplBila ya uwepo wa professional CF Wout François Maria Weghorst hio list itakua ni batiliView attachment 2679950
Mimi sio mtoto au mjukuu wa nabii , mwaka jana niliwaambia Chelsea wajiandae hali itakuwa tete ,ushindi wao utakuwa 1-0,1-1 au vipigo walikuwa wananitusi Sana, Liverpool nao kule niliwaambia hivo hivo , kipindi hicho top 4 watu wanajipangia wakimuweka Chelsea na Liverpool ,huku manjesta akionekana title contenderDaaahhh inauma sana kumuona jirani yako anajipakulia tu minyama nyama halafu sisi tunahangaika na viporo vya maharage.
Ila yote maisha tukutane August ligi ikianza ndio tutajua mbivu na mbichi.
Watoe hela wamnunue si wanataka.... after all tajiri miluzi ni mtu ambaye akitaka kitu hakubali kushindwa....Brighton are wanting more than £100m for Moisés Caicedo, based on the benchmark set by Declan Rice's fee to Arsenal
[Via - @McGrathMike]- Tier 1
One season wonder Wanataka £100m+
Alikurupuka Sasa hivi kawa na adabu na yeye ana negotiateWatoe hela wamnunue si wanataka.... after all tajiri miluzi ni mtu ambaye akitaka kitu hakubali kushindwa....
Nasikia wamepeleka £52 million kwa Vlahovic Juve wamekataa wamewaambia wakajipange tena waje na mpunga zaidi....naomba wakamuliwe 100 na Brighton na kuna yule kipa wa Porto naye wanamtaka wakamuliwe tena....alaf tukutane pale kwao Darajani tukawape shule ya soka tenaAlikurupuka Sasa hivi kawa na adabu na yeye ana negotiate,
Ametumia £650m akataka kushuka daraja
Akaona Arsenal tunafaidi kwa mudrky akavamia akala za uso €100m
Akamsajil Enzo kwa £107m ,timu ikiwa nafasi ya 10 , ndio kwanza akateremka had nafas ya 12
Kwasasa amekuwa mpole ndio maana unaona mwez wa 2 huu anasumbuana na Brighton.
Mwaka Jana alienda akamalizana na Leeds kwa Raphina ili Arsenal tukose akakuta mchezaji hataki anataka kwenda Barca, wakati huo Edu alishapewa taarifa na Deco asipeleke ofa ya 2 sababu Mchezaji anaenda Barca .
Tajiri miluzi kwasasa amerudi kwenye utamaduni wa usajili , sitashangaa akigoma kulipa £100m kwa Caicedo ,maana kajikuta msimu huu wale aliohijack wote Ni magarasa
Bila ya uwepo wa professional CF Wout François Maria Weghorst hio list itakua ni batiliView attachment 2679950
Daaahhh inauma sana kumuona jirani yako anajipakulia tu minyama nyama halafu sisi tunahangaika na viporo vya maharage.
Ila yote maisha tukutane August ligi ikianza ndio tutajua mbivu na mbichi.
daah jiwe walilo kataa wa ashi.. all the best xhakaXhaka spotted in Köln,Germany where the player has undergone a medical ahead of move to Bayer Leverkusen
(@SPORTBILD exclusive)