Nyie kondoo mkikosolewa mnakua wakali.Eneo la Caicedo ni lipi? eneo la Kai ni lipi? Unaweza kuta hujui hata unachoongea, maana mbongo ni bingwa kukosoa afu hujui hata unakosoa nini
Uzuri huwa nakupaga NAKED TRUTH unaanza maneno ya shombo but nimekuzoea kijana sisi huwa hata tukifungwa huwa hatupotei kama wewe miezi na miezi endelea na tetesi subiri walio serious waje kusajili good playersUnadhani timu zinasajiri kwa kukurupuka ? Kama anamuhitaji na yupo kwenye mipango atapeleka ,
Usiseme hajaamua ,means unawashushia heshima kuwa wanasajili ovyo
Ya mudrky yalikuwa yapi
Unatumia Negative opinion kujidifend , Kama Akija utasemaje?
Kama huwez kuwaamin edu na Arteta kwenye usajiri simamia msimamo mmoja
Mbona Madrid kwa Kai kasema hawez kufika £50m ,Bayern kwa Caicedo ,Rice wamewhindwa Bei , nao utasemaje ?
Mancity mwaka Jana kwa Cuculera alishindwa kufika over £40m , ila kwa Arsenal scenario Kama hizi inakuwa nongwa
Em fafanua zaid kwa undani hiki kitu naona kama umepita juu juu tu bro.Kuna kitu inaitwa 3 diamond 3, hii (out of possession) inakuwa na kitu wanaita CCB, johan cruyff alitumia Barcelona, Pep katumia dhidi ya Inter. Link za Rice + uwepo wa Partey au uwepo wa Rodri inaonesha kuwa this set up is future.
Jibu hoja tuNyie kondoo mkikosolewa mnakua wakali.
Uanshindwa kujibu hoja unalalamika, wewe si ulihama timu ukahamia psg , Sasa kinachokufanya ulalamike Nini,ulitangaza umehama ,Cha ajabu kutwa kulalama , nashangaa kwanza why umeniquote ,maana huwa sikujibu , ulishaona nahangaika na wewe?Mimi najua ulihamia psg.Uzuri huwa nakupaga NAKED TRUTH unaanza maneno ya shombo but nimekuzoea kijana sisi huwa hata tukifungwa huwa hatupotei kama wewe miezi na miezi endelea na tetesi subiri walio serious waje kusajili good players
Mimi nilisha opt kutowajibu , mtu anakwambia pesa ya Kai ni sawa na Ya Caicedo,Eneo la Caicedo ni lipi? eneo la Kai ni lipi? Unaweza kuta hujui hata unachoongea, maana mbongo ni bingwa kukosoa afu hujui hata unakosoa nini
Tierny amekuwa ana struggle Sana kwenye mfumo wetu , huwa namuonea had hurumaHalafu Arteta anamuuza Kieran Tierney.
Unajikuta bwana Edu mwenyewe. Kula chuma hichoMimi nilisha opt kutowajibu , mtu anakwambia pesa ya Kai ni sawa na Ya Caicedo,
Mtaanzia wapi kujadiliana,
Halafu utakuta wanalazimisha uwajibu ujinga wao
Unajikuta bwana Edu mwenyewe. Kula chuma hichoView attachment 2659802
Partey, Rice, Rodri wanaweza kuwa CCB kwenye setup ya 343 diamond, mpinzani akiwa na mpira CM mmoja anacover eneo la pembeni ili eneo la kati CB kuwa compact, Gvardiol & Kovacic kuhusishwa na City inaonesha mpango wa Guardiola ni kucheza hii setup.Em fafanua zaid kwa undani hiki kitu naona kama umepita juu juu tu bro.
Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Wewe ni Arsenal fake fan huwezi kuwa unapotea after bad results mimi nakuona ni mamluki tu in my opinionUanshindwa kujibu hoja unalalamika, wewe si ulihama timu ukahamia psg , Sasa kinachokufanya ulalamike Nini,ulitangaza umehama ,Cha ajabu kutwa kulalama , nashangaa kwanza why umeniquote ,maana huwa sikujibu , ulishaona nahangaika na wewe?Mimi najua ulihamia psg.
Sitakujibu tena
Wewe ni Arsenal fake fan huwezi kuwa unapotea after bad results mimi nakuona ni mamluki tu in my opinion
Yeah for sure lijamaa lina kelele nyingi timu ikiwa na matokeo tu , timu ikifungwa hulioniii humu halafu linajikuta arsenal fan kwa kusoma soma vihabari vya arsenal news now na kwingine wakati nyinyi mpo in bad and good times !!! Kuanzia game ya Liverpool lilipotea limerudii juzi na habari zake za kizushiiii
Halafu ukimchallange kidogo poooovu linamtoka, utasikia sikujibu. Kuna kondoo mwingine anaibuka huko na kuja kumpa ushauri "mi huwa nawablock", yaani wanashauriana kila anayempinga apge block. Yaani hawa jamaa wamerogwa.Yeah for sure lijamaa lina kelele nyingi timu ikiwa na matokeo tu , timu ikifungwa hulioniii humu halafu linajikuta arsenal fan kwa kusoma soma vihabari vya arsenal news now na kwingine wakati nyinyi mpo in bad and good times !!! Kuanzia game ya Liverpool lilipotea limerudii juzi na habari zake za kizushiiii
Haka kajamaa ni hopeless kabisa. Ukienda against na hoja yake utakasikia "sitakujibu tena"Jamaa alituambia arsenal imebadili taratibu inafanya mazungumzo na club then wakikubaliana fee wanaweka dau moja tu shuguli inaisha, masaa hata matano hayajapita tukaona arsenal bid imekuwa rejectedtunamuuliza braza vipi mbona unatuongopea anakua mkaliiinikajua huyu arsenal ishampa ukichaaa hajawaha mkonge kwenye vipigo!
Huyo jamaa anafokea kila mtu anajiona yeye ndo mwana arsenal peke yake, anataka aaminiwe hata kama anasrma uongo, na kauli zake za kike eti sa hizi siwajibu watu wa hivi/vileWewe ni Arsenal fake fan huwezi kuwa unapotea after bad results mimi nakuona ni mamluki tu in my opinion