zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,259
Unaweza kuelezea dynamics zitazofanya Arsenal ikose uwiano kwa kumkosa Caicedo?Nafikiri kuna mchezo unachezwa pale asenali,hela ya kai ndio hela ya caicedo hiyo hiyo, asenali anatoa hela kwa kai badala ya wamchukue caicedo na rice iliwaimarishe eneo la kati,sasa kitakachoenda kutokea kama watampata kai bado timu itakosa uwiano tu.....
Viongozi watimu Nafikiri ajenda kuu sio kuchukua kombe bali kushiriki shiriki tu[emoji35][emoji35][emoji35]
Hatuwez toa hiyo, ikizidi sana ni 80Naona Chelsea anaenda kupigwa £120 Kwa Caicedo
Na huyu tunamchukua,hamtoaminiSasa hapa Arteta afanye unyama mmoja hatari Sana ,akimalizana na Rice & Kai , aende kwa Lavia Hana tofaut kubwa uchezaji wake na Partey au Caicedo,anapatikana kwa £40-45m
Nimeangalia uwezo wa caicedo kucheza nafasi nyingi kwa ubora wake na watu mbadala tulionao nikimlinganisha na kai akicheza nafasi nyingi kwa ubora wake na watu mbadala tulionaoUnaweza kuelezea dynamics zitazofanya Arsenal ikose uwiano kwa kumkosa Caicedo?
Unajua kocha alisema hivi baada ya ligi kuisha, kabla ya kufanya usajili anahitaji ku assess resources alizonazo ndani ya club na namna gani anaweza kufanya hizi resources kufikia full potential, ukielewa hapa basi huwezi kutia shaka na Mikel Arteta, muangalie moves zake afu tafuta namna ya kumuelewa.
Nakubali2023/2024 UEFA CHAMPIONS LEAGUES SEASON
GROUP D
Bayern Munich
Arsenal
Celtic
Anderlecht
[emoji626]Bayern Munich tops group with Arsenal coming second
ROUND OF 16
Arsenal vs Napoli
[emoji626]Arsenal eliminates Napoli 3:1 on aggregate score
QUARTER FINALS
Athletico Madrid vs Arsenal
[emoji626]Arsenal comes back from a 2:0 deficit in the first leg to give ATM a 4:1 win at the Emirates stadium to qualify to the semi final with an aggregate score of Ars 4:3 ATM
SEMI FINAL
Man City vs Arsenal
[emoji626]After No goal in both legs, Arsenal goalie A.Ramsdale saves 3 penalties to take Arsenal to the UCL finals for the first time since 2006
FINALS
PSG vs Arsenal
[emoji626]6Mins" [emoji460]Gooal B.Saka scores in the UCL finals in his first season of playing the competition.
HT PSG 0:1 Arsenal
[emoji626]87Mins" [emoji460]Gooal G.Jesus makes it 2 for Arsenal,that looks like a confirmation to me.Credit to that lovely pass from Trossard who just came off the bench.Instant impact [emoji122]
[emoji626]90+5Mins" [emoji460]Gooal Mbape gets on the score sheet.It's now 2:1.
Full-Time PSG 1:2 Arsenal
ARSENAL ARE 2023/2024 UEFA CHAMPIONS LEAGUE CHAMPIONS[emoji471]
[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
View attachment 2659349
Sio rahisi kama kutaipu hivi,ilihayo yatokee inahitajika arteta awe na wachezaji bora zaidi ya 20 nawawe na utimamu kwa kipindi chote cha pambano ila kwa kina fabio vieira,nelson na emil smith tutaishia kumi na sita 😆😆😆 nastori za kufa kiume zitakuwa nyingi 😡😡😡yuefa asenali hatoboi 16 akizidi sana robo na atatolewa kwa aibu ,endapo wataendelea na viusajili vya kuunga unga tutaona😡😡😡😡.....zije stori fulani asingeumia,wakati sasa ndio wanatakiwa kusajili😆😆😆2023/2024 UEFA CHAMPIONS LEAGUES SEASON
GROUP D
Bayern Munich
Arsenal
Celtic
Anderlecht
[emoji626]Bayern Munich tops group with Arsenal coming second
ROUND OF 16
Arsenal vs Napoli
[emoji626]Arsenal eliminates Napoli 3:1 on aggregate score
QUARTER FINALS
Athletico Madrid vs Arsenal
[emoji626]Arsenal comes back from a 2:0 deficit in the first leg to give ATM a 4:1 win at the Emirates stadium to qualify to the semi final with an aggregate score of Ars 4:3 ATM
SEMI FINAL
Man City vs Arsenal
[emoji626]After No goal in both legs, Arsenal goalie A.Ramsdale saves 3 penalties to take Arsenal to the UCL finals for the first time since 2006
FINALS
PSG vs Arsenal
[emoji626]6Mins" [emoji460]Gooal B.Saka scores in the UCL finals in his first season of playing the competition.
HT PSG 0:1 Arsenal
[emoji626]87Mins" [emoji460]Gooal G.Jesus makes it 2 for Arsenal,that looks like a confirmation to me.Credit to that lovely pass from Trossard who just came off the bench.Instant impact [emoji122]
[emoji626]90+5Mins" [emoji460]Gooal Mbape gets on the score sheet.It's now 2:1.
Full-Time PSG 1:2 Arsenal
ARSENAL ARE 2023/2024 UEFA CHAMPIONS LEAGUE CHAMPIONS[emoji471]
[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
View attachment 2659349
Mashabiki Kama nyie ndio mnafanya mihemko humu ,mpo toxic SanaNafikiri kuna mchezo unachezwa pale asenali,hela ya kai ndio hela ya caicedo hiyo hiyo, asenali anatoa hela kwa kai badala ya wamchukue caicedo na rice iliwaimarishe eneo la kati,sasa kitakachoenda kutokea kama watampata kai bado timu itakosa uwiano tu.....
Viongozi watimu Nafikiri ajenda kuu sio kuchukua kombe bali kushiriki shiriki tu[emoji35][emoji35][emoji35]
2023/2024 UEFA CHAMPIONS LEAGUES SEASON
GROUP D
Bayern Munich
Arsenal
Celtic
Anderlecht
[emoji626]Bayern Munich tops group with Arsenal coming second
ROUND OF 16
Arsenal vs Napoli
[emoji626]Arsenal eliminates Napoli 3:1 on aggregate score
QUARTER FINALS
Athletico Madrid vs Arsenal
[emoji626]Arsenal comes back from a 2:0 deficit in the first leg to give ATM a 4:1 win at the Emirates stadium to qualify to the semi final with an aggregate score of Ars 4:3 ATM
SEMI FINAL
Man City vs Arsenal
[emoji626]After No goal in both legs, Arsenal goalie A.Ramsdale saves 3 penalties to take Arsenal to the UCL finals for the first time since 2006
FINALS
PSG vs Arsenal
[emoji626]6Mins" [emoji460]Gooal B.Saka scores in the UCL finals in his first season of playing the competition.
HT PSG 0:1 Arsenal
[emoji626]87Mins" [emoji460]Gooal G.Jesus makes it 2 for Arsenal,that looks like a confirmation to me.Credit to that lovely pass from Trossard who just came off the bench.Instant impact [emoji122]
[emoji626]90+5Mins" [emoji460]Gooal Mbape gets on the score sheet.It's now 2:1.
Full-Time PSG 1:2 Arsenal
ARSENAL ARE 2023/2024 UEFA CHAMPIONS LEAGUE CHAMPIONS[emoji471]
[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
View attachment 2659349
Maisha
Sio rahisi kama kutaipu hivi,ilihayo yatokee inahitajika arteta awe na wachezaji bora zaidi ya 20 nawawe na utimamu kwa kipindi chote cha pambano ila kwa kina fabio vieira,nelson na emil smith tutaishia kumi na sita [emoji38][emoji38][emoji38] nastori za kufa kiume zitakuwa nyingi [emoji35][emoji35][emoji35]yuefa asenali hatoboi 16 akizidi sana robo na atatolewa kwa aibu ,endapo wataendelea na viusajili vya kuunga unga tutaona[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35].....zije stori fulani asingeumia,wakati sasa ndio wanatakiwa kusajili[emoji38][emoji38][emoji38]
Mashabiki Kama nyie ndio mnafanya mihemko humu ,mpo toxic Sana
Pesa ya kai Ni £50m+ 10 adds ons (£60m) ndio ambayo Arsenal wamesema watalipa hiyo
Pesa ya Caicedo ,Mwenyekiti wa Brighton kasema Ni £120m , na Chelsea anataka alipe £80m lakin Kuna mchezaji atawaachia kwa mkopo
How comes unasema Bei ya Kai ndio hiyo hiyo ya Caicedo?
Unaweza kuelezea Tukimkosa Caicedo tutaathirika vipi?
Arteta anataka acheze kwa kushambulia na back 3 /back 2 juu yao anakuwepo Rice ambaye kihalisia Ni CB , ambaye amekuja kuwa Bora zaidi Kama DM ,
Mbele ndipo anataka amuweke KAI na Odegaard
Utatu wa mwisho Martinel Jesus na Saka
£50m anaongezea ngapi kufika £100-120m? Hapo had unasema Ni kidogoNaam kaka,nimesema pesa ndio hiyo hiyo nikimaanisha chelsea wataongezea pesa kkidogo.
Asenali itaathirika na uwiano wa wachezaji bora kwenye eneo la caicedo ukilinginisha na eneo la kai
Nimecheka kisenge...[emoji23][emoji1373]2023/2024 UEFA CHAMPIONS LEAGUES SEASON
GROUP D
Bayern Munich
Arsenal
Celtic
Anderlecht
[emoji626]Bayern Munich tops group with Arsenal coming second
ROUND OF 16
Arsenal vs Napoli
[emoji626]Arsenal eliminates Napoli 3:1 on aggregate score
QUARTER FINALS
Athletico Madrid vs Arsenal
[emoji626]Arsenal comes back from a 2:0 deficit in the first leg to give ATM a 4:1 win at the Emirates stadium to qualify to the semi final with an aggregate score of Ars 4:3 ATM
SEMI FINAL
Man City vs Arsenal
[emoji626]After No goal in both legs, Arsenal goalie A.Ramsdale saves 3 penalties to take Arsenal to the UCL finals for the first time since 2006
FINALS
PSG vs Arsenal
[emoji626]6Mins" [emoji460]Gooal B.Saka scores in the UCL finals in his first season of playing the competition.
HT PSG 0:1 Arsenal
[emoji626]87Mins" [emoji460]Gooal G.Jesus makes it 2 for Arsenal,that looks like a confirmation to me.Credit to that lovely pass from Trossard who just came off the bench.Instant impact [emoji122]
[emoji626]90+5Mins" [emoji460]Gooal Mbape gets on the score sheet.It's now 2:1.
Full-Time PSG 1:2 Arsenal
ARSENAL ARE 2023/2024 UEFA CHAMPIONS LEAGUE CHAMPIONS[emoji471]
[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
View attachment 2659349
Huwezi chukua CL kama hujahawi kutana na hizi team na kuzifunga au kufungwa na kurudia kila msimu bila kuchoka Tena kwenye knock out stage ...2023/2024 UEFA CHAMPIONS LEAGUES SEASON
GROUP D
Bayern Munich
Arsenal
Celtic
Anderlecht
[emoji626]Bayern Munich tops group with Arsenal coming second
ROUND OF 16
Arsenal vs Napoli
[emoji626]Arsenal eliminates Napoli 3:1 on aggregate score
QUARTER FINALS
Athletico Madrid vs Arsenal
[emoji626]Arsenal comes back from a 2:0 deficit in the first leg to give ATM a 4:1 win at the Emirates stadium to qualify to the semi final with an aggregate score of Ars 4:3 ATM
SEMI FINAL
Man City vs Arsenal
[emoji626]After No goal in both legs, Arsenal goalie A.Ramsdale saves 3 penalties to take Arsenal to the UCL finals for the first time since 2006
FINALS
PSG vs Arsenal
[emoji626]6Mins" [emoji460]Gooal B.Saka scores in the UCL finals in his first season of playing the competition.
HT PSG 0:1 Arsenal
[emoji626]87Mins" [emoji460]Gooal G.Jesus makes it 2 for Arsenal,that looks like a confirmation to me.Credit to that lovely pass from Trossard who just came off the bench.Instant impact [emoji122]
[emoji626]90+5Mins" [emoji460]Gooal Mbape gets on the score sheet.It's now 2:1.
Full-Time PSG 1:2 Arsenal
ARSENAL ARE 2023/2024 UEFA CHAMPIONS LEAGUE CHAMPIONS[emoji471]
[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
View attachment 2659349
Eneo la Caicedo ni lipi? eneo la Kai ni lipi? Unaweza kuta hujui hata unachoongea, maana mbongo ni bingwa kukosoa afu hujui hata unakosoa niniNaam kaka,nimesema pesa ndio hiyo hiyo nikimaanisha chelsea wataongezea pesa kkidogo.
Asenali itaathirika na uwiano wa wachezaji bora kwenye eneo la caicedo ukilinginisha na eneo la kai
Halafu Arteta anamuuza Kieran Tierney.Maisha
Sio rahisi kama kutaipu hivi,ilihayo yatokee inahitajika arteta awe na wachezaji bora zaidi ya 20 nawawe na utimamu kwa kipindi chote cha pambano ila kwa kina fabio vieira,nelson na emil smith tutaishia kumi na sita 😆😆😆 nastori za kufa kiume zitakuwa nyingi 😡😡😡yuefa asenali hatoboi 16 akizidi sana robo na atatolewa kwa aibu ,endapo wataendelea na viusajili vya kuunga unga tutaona😡😡😡😡.....zije stori fulani asingeumia,wakati sasa ndio wanatakiwa kusajili😆😆😆