Sio kweli!.. Jorginho alipata nafasi ya kuanza mbele ya Partey mechi za lala Salama Baada ya kiwango Cha Partey kupolomoka hasa kwenye hizi mechi 8 za mwisho. Kumbuka kuwa miongoni mwa vitu vilivyosababisha tukose ubingwa ni kutetereka Kwa kiwango Cha Partey, Kwa hiyo Arteta hakuwa na namna zaidi ya kumchezesha Jorginho!..Ukweli mchungu
Arteta anamuamini Sana Jorginho kuliko Partey
Yupo tayari kumpiga Bei Partey dirisha hili akimpata Caicedo lakini sio JorginhoView attachment 2657894
Dili la Rice nalifatilia kwa ukaribu Sana ,kuanzia vyanzo vya kuaminika vya Westham , vya Arsenal , na vile global Kama Romano, Ornstein ,n.k
Vyanzo vya ujerumani vya kuaminika vimethibitisha kabisa Bayern kajitoa mazima baada ya Rice kusema anataka abaki London
Kilichopo mazungumzo yapo vzr na Ni kuhusu ulipaji ndio inakuwaga issue
Hizi dili za €100m,£100m+ ,Mara nyingi huwa pesa hailipwi yote Kuna upfront inatangulia kwanza ,
Mpaka Sasa klabu zote zilizokuwa zinamtaka Rice zimejiondoa baada ya kuonekana Arsenal alishamalizana nae muda mrefu toka round ya kwanza mechi ya pale Emirates
Pia Jack wilshere aliongea nae Rice
Halafu Partey ndiye anataka kuondoka Baada ya kuona anakuja Rice na Caicedo.. Yule Jorginho hata ukimuuza huwezi kupata hela ya maana, Huyo Jorginho ni Back up tu hapo kwenye midfield na Hana concistency ya kucheza msimu mzima.. huyu hatauzwa Bali ataondoka Bure mkataba wake utakapoisha next season
Tunahitaji kupata mchezaji mmoja kati ya RB / RCB, vilevile mmoja kati ya ST/RW. Tunaweza kusajili wachezaji wanne tu wa pesa ndefu wakatupa full squad depth.Rice £90m
Kai havertz £60m
Cancelo £35-40m
New RCB £25-30m
RW £40m
Total £250-260m
Vyanzo vinasema Priority Ni Kai na Rice., Hivo sioni tukimleta Caicedo ,labda tusubiri surprise
Hii sio kweli, afu hii haitakiwi, tusichukulie mambo makubwa kiwepesi.Sio kweli!.. Jorginho alipata nafasi ya kuanza mbele ya Partey mechi za lala Salama Baada ya kiwango Cha Partey kupolomoka hasa kwenye hizi mechi 8 za mwisho. Kumbuka kuwa miongoni mwa vitu vilivyosababisha tukose ubingwa ni kutetereka Kwa kiwango Cha Partey, Kwa hiyo Arteta hakuwa na namna zaidi ya kumchezesha Jorginho!..
Pointi 15 clean kibindoni.Arsenal's first six PL games:
Arsenal v Forest
Palace v Arsenal
Arsenal v Fulham
Arsenal v Man United
Everton v Arsenal
Arsenal v Tottenham
Last three games:
Arsenal v A.F.C. Bournemouth
Man United v Arsenal
Arsenal v Everton
Nimeongea kutokana na experience ya timu yetu, unaweza ukakuta tunahusishwa na mchezaji wa mil 100 then tuna sajili wa mil 30,sometimes hata kufuatilia tetesi za arsenal unaona uvivu.Kwan wameachana Rice? Habar umetoa wapi hii
Pointi 15 clean kibindoni.
Ahaaa Kaka kwa Arsenal hii??au ni utani tu mimi napenda kuwaga Mkweli mwisho naonekana mbaya kwa akili yako timamu unahisi Arsenal wapo serious kwa players wote hawa?Rice £90m
Kai havertz £60m
Cancelo £35-40m
New RCB £25-30m
RW £40m
Total £250-260m
Vyanzo vinasema Priority Ni Kai na Rice., Hivo sioni tukimleta Caicedo ,labda tusubiri surprise