Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Kwaiyo hawa chelsea ni kujichukulia tu wachezajiArsenal, could give Havertz a chance to use his creativity and play in attacking midfield more. It remains to be seen whether Chelsea would sell to their London rivals.
Their options may be limited if Madrid manage to sign either Kane or Mbappe.
Bayern and City also have interest in Havertz
(@JacobSteinberg - Tier 1 )
theguardian.com/football/2023/…
Niliwahi kusema ,ule Usajili wa ovyo waliofanya Chelsea ,msimu huu itakuwa nikujiokotea tu wachezajiKwaiyo hawa chelsea ni kujichukulia tu wachezaji
Moja --Sisi na Chelsea hatujawahi kushindwana kwenye biashara ya wachezaji kabisa,Chelsea wasitukazie Sasa Kama wanavyowafanyia manjesta kwa mountView attachment 2657454
Yah nimeona maongezi yameenda vzrMoja --Sisi na Chelsea hatujawahi kushindwana kwenye biashara ya wachezaji kabisa,
Pili -- wanaitaji kupunguza kundi kubwa sana la wachezaji kwaiyo kujitoa kwa Madrid kwenye dili ya hili kuna uwezekano mkubwa wakashusha bei na deal likakamilika soon.
Kai kwa £50m -£60M ni sawa ila sio zaid ya hapo.Yah nimeona maongezi yameenda vzr
Dili zote mbili ,upande Kai wameomba Chelsea ashushe Bei
Kwa Rice Ni swala la muda
Upo sahihi, The Mail wanasemaKai kwa £50m -£60M ni sawa ila sio zaid ya hapo.
Mwalimu wetu anasajili mchezaji kwa profile maalumu ili amtumie kutokana na playing styleKai mnapigwa peupe,,,,
Akienda league1 anaweza kushine, epl ni ngumu kwake,,,,,
David Ornstein
Understand that Havertz has had calls with Arteta and Jorginho about the possibility of the move.