Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,100
- 3,154
Usajili bila tetesi kwanza it's impossible.
Ngoja tuendele kula ndizi nyama ziko chini
Mimi under arteta yeyote aje..hata akiwa na jicho moja furesh tu
Katika zile timu za juu kule mmebaki nyie na Totteham pekee (na hapo nimewapa sifa msiyostahili cz hamfai kuitwa timu ya juu) tena Totteham wataanza kuchukua ndoo ya UCL kabla ya kondoo Ass'anal.Big up kwa citizens
Naimani hii kitu itazidi kumtibua nyongo Arteta
#trusttheprocessView attachment 2653577
Hii ndio ac tunayoijua, zile zingine achana nazo njoo na hii tutambue we ni nyumbu my brodaKatika zile timu za juu kule mmebaki nyie na Totteham pekee (na hapo nimewapa sifa msiyostahili cz hamfai kuitwa timu ya juu) tena Totteham wataanza kuchukua ndoo ya UCL kabla ya kondoo Ass'anal.
Eti ArsenalKiungo wa Manchester City, Ilkay Gündogan amegeuka dili Ulaya na Uarabuni baada kutakiwa na vilabu mbalimbali kutoka sehemu hizo.
𝐌𝐚𝐧𝐜𝐡𝐞𝐬𝐭𝐞𝐫 𝐂𝐢𝐭𝐲 wamempa ofa ya kuongeza mwaka mmoja zaidi kuendelea kuwatumikia.
𝐁𝐚𝐫𝐜𝐞𝐥𝐨𝐧𝐚 wao wametoa ofa ya miaka mitatu huku vilabu vya 𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐀𝐫𝐚𝐛𝐢𝐚 vikiendelea kumshawishi Star huyo tangu mwezi Januari wakati wa dirisha dogo ili atimkie huko.
𝐀𝐫𝐬𝐞𝐧𝐚𝐥 pia wameonekana wakihitaji huduma ya kiungo huyo wa Ujerumani.
Mzee manjesta imeshajifia ,huoni hata 7 hag sajili zake za mchongoEti Arsenal
Oya Tajiri ndio ameanza kuwekeza Arsenal mwaka 2018 ,na toka hapo Arsenal imeanza kuleta ushindanArsenyani mna gundu. Wenzenu Denver Nuggets wameshinda ubingwa wa NBA 2023. LA Rams wameshinda Super Bowl 2022. Colorado Avalanche wameshinda Stanley Cup 2022. Colorado Mammoth wameshinda NLL 2022.
Wote mnamilikiwa na Kroenke. Bora tajiri aendelee kuwekeza pesa kwenye timu zinazoshinda makombe. Halafu mnategemea kumsajili Rice.
Tajiri ana furaha anaweza kutoa £100m ya Rice. Josh Kroenke & Edu wamejitahidi msimu uliopita.Oya Tajiri ndio ameanza kuwekeza Arsenal mwaka 2018 ,na toka hapo Arsenal imeanza kuleta ushindan
Msimu huu anamwaga pesa za kutosha
Ameona inahitajika nguvu kuongezwaTajiri ana furaha anaweza kutoa £100m ya Rice. Josh Kroenke & Edu wamejitahidi msimu uliopita.
Big boss, Stan Kroenke mmemuangusha msimu huu.
View attachment 2655634
Saliba je?INJURY NEWS:
Takehiro Tomiyasu, Mohamed Elneny, Gabriel Martinelli and Oleksandr Zinchenko will all feature in Arsenal’s pre-season.
Reports, @kayakaynak97.
Hizi habari zinachosha sasa kama hela ipo team iweke imnunue mambo ya daily ARE CLOSE TO SIGNING yanachosha na ni normal kwa news kama hizi kwa Arsenal mwishoni unaona Rice kaenda Manchester UnitedArsenal close to signing Declan Rice in a £100m deal inclusive of add-ons. Confidence from both parties that an agreement will be reached soon. Moisés Caicedo and Ilkay Gündogan are also targets for Arsenal. Reports,
@ChrisWheatley on Instagram.