Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi unaelewa hata maana ya squad depth?
Ukitoa man city, timu gani nyingine Ina GD kubwa ya kuizidi arsenal?
Huyo central striker nani unayetaka asajiliwe, mwenye uwezo wa kumweka nje Jesus na Trossard ukimtoa osihmen

Squad depth? Kwa arsenal
tierney tu amekaa pale anakula bench now anaweza kusepa zake newcastle , dogo alikua yupo fresh tu na kuna baadhi ya mechi unaona kabisa alikuwa anahitajika sana tu!! Lakini arteta kakomaaa tu, mcheki pep kuna baadhi ya game madogo kama lewis na Ortegaaa wameanza fresh tu huku wakina rodri wamepumzika na ederson ! Lini umemuona turner sijuiii yule kipa no 2 wa arsenal kaanza?? Hio squad depth unayosema wewe je kocha anaweza kuhimili mikiki yake usione tu pep anafanya ukaona ni easy thing!!!

Stones , Ake na Grealish kuna muda walisugua benchi haswa tena si msimu moja lakini walikuepo man city na now tunaona matokeo yake !! Tierney msimu huu tu tayariii anataka kupigwa bei!! Jesus alivyokuwa injury kuna muda combination ya trossard, martinelli, saka ilikubali sana hasa trossard nashangaa akaanza kula bench trossard!
Arteta ni kama alikariri mchezo moja tu hakuwa na alternatives just cheki kuna muda trossard alicheza namba ya saka or vile saka akiwa hayupo uone mpira wa ovyo unavyochezwa upande wake . Kocha kama ana njia moja tu hata hio squad iwe kubwa kiasi gani it will be nothing!!!!
 
Kwahiyo unashauri Arteta afukuzwe?
Umejaa negativity tu
 
Kati ya Asenyo na andazi ni bora andazi.
Unaongoza ligi kwa siku 258 umebakiza mechi 8 na unaongoza kwa points 8 halafu unakosa ubingwa?
Halafu mijitu ilivyo mizuzu inajisifia kabisa humu kua imevuka malengo

Unavukaje malengo bila kucheza hata robo fainali ya kombe lolote?
Unavuka malengo bila ya kuchukua hata kombe la kuku yaani Carabao, FA, Europa, Pl zote hizo ukose halafu unajisifu kua umevuka malengo?
Si bora hata ule msimu mliobeba FA kidogo unaweza kujitapa walau una chochote kitu.
Asenyo na mashabiki wake wana mentality za mid table team, ni bora hata ya Brighton kuna kitu walau kinaonekana ila sio kwa hii misukule ya Arteta.
Huko UEFA kwenyewe mkitoboa kwenye group stage mi nimekaa paleeeeeee.
 
Malengo ya aseno unayajua? Kila mtu na malengo yake usilazimishe vitu
 
Naona hii kauli ya kulinganisha taasisi,watu na maandazi ni kauli ya kua na akili za kitoto ila zenye umbo na mwili mkubwa, mwanaume aliyekamilika kwenye idara zote huwez fanya hiki kitu.
 
Malengo ya aseno unayajua? Kila mtu na malengo yake usilazimishe vitu

Ni yapi ? Tuambie na malengo ya season hii inayofuata wazee wa phase
utasikia saivi tupo phase 3. Utafikiri kama growth of insects
.
Hivi unajua kama arsenal angekuwa labda anapishana na man city pale juu haya yote watu wasingekuwa wanacheka nakuona ni vituko . Top of the table for almost 258 days na points 8 ahead hiki ndo kinachofanya arsenal ionekane kituko kabisa
. Haitakaa itokee chance kama hiii kwa miaka mingine 20.
Baada ya hili ni mpumbavu pekee tu anaweza kuamini arsenal itachukua ubingwa wa epl . Hii imeonyesha arsenal ni timu ya kituko kiasi gani!
 

Hata mimi mwanzo nilifikiri hivyo lakini nikaona ni yaleyale ya kumtafuta scapegoat, holding hapa amekua mbuzi wa kafara tumeshachoma sasa tutafute mbuzi wetu nae si mwingine ni holding!!
Downfall imeanzia game na Liverpool arsenal ipo 2:0 ahead mpaka dk35 nionyeshe hata sehemu alipochoma holding ukisema mashabulizi tayariii arsenal alikua anaoongoza , sub ya zinch ikachelewa kilichofuata ni vichwa chini as always!!!
Game na westham partey kachoma, saka kachoma sijaona holding alipochoma , game na soton akachoma Ramsdale na zinchy !!
 
Sio mbaya man city hakibeba UEFA tunacho furahia sisi Wenger orphas mtabaki peke yenu klabu kubwa yenye aina kombe la ulaya
 
Season imeisha hiyo kaleni bata kwenye team zenu,, sahivi tunataka kuongelea usajirii..

Nyiee nyumbu,liverkuku, cheltako. Manshit .
Nyumbu hawana hela ya usajili watasajili nani sasa,.zaid ya kushinda umu kupiga kelele, uzi wa chelsea wapo bize kujadili matatizo ya timu yao na nini suluhisho na wachezaji gan wanaondoka na wachezaji gani wanatakiwa kuja pale, ila nyumbu hawana hata tetesi zaid ya kujadili kesi ya Antony uko
 
Antony ana kesi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…