Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuna mechi ya kirafiki na Manjesta mwez wa 7 hapo katikati

Inatakiwa tumkande nyingi
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
 
Tunakumbushana msimu mzima Manjesta fans walimshangilia City kwenye Ligi lakini mwisho wa story ni City kumfunga Manchester United kwenye fainali ya FA na kuvunja rekodi ya Sir Alex Ferguson Kwa kuchukua UEFA champions league against Inter Milan Mark this
 
Bro una trauma na man utd!!!?? Man utd was best miaka 8 or 10 iliyopita and not now?? Man utd kuitesa arsenal ndo kukupe trauma!!! Man utd si tishio tena focus na timu yako kumfunga man utd haina faida yoyote for now.. usijifiche kwenye kichaka cha man utd baada ya kuaminisha bottlers wenzako for so long kuwa mnabeba epl!!
 
Brother Labyrinth 84 usimshangae sana hamis77 hio ndio mentality ya mashabiki karibia wote wa Arsenyo duniani.
Hawa jamaa kuifunga Man United kwao ni sawa na kuchukua kombe la Epl, hio ndio mentality waliyowekewa na babu yao mzee Wenger.
Misimu yao ya mafanikio hua wanaangalia kwa kuifunga united, Wakifanikiwa kutufunga hata kama watamaliza ligi nafasi ya 6 huko wenyewe hua wanahesabia wamevuka malengo.
Tatizo kubwa la timu pamoja na mashabiki wa Arsenyo sio kucheza mpira ni mentality yao kwenye mashindano ya mpira.

Hapa chini ni mashabiki wa Arsenyeto wakilisumbua jeshi la polisi kwa kufanya maandamano haramu na kuleta taharuki kwenye jamii pamoja na kuhatarisha amani huku wakiwa wamebeba kombe baada ya kufanikiwa tu kuifunga United.
 
Shabiki la Nyumbu linapogundua Guardiola anavunja rekodi ya Ferguson wakati limetumia msimu mzima kushangilia Man City.
 
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye tunaenda kushiriki tena Uefa Champions League

Wale wenzetu waliokuwa wanasema Arsenal hata Top 4 tusingeingia wanaona Aibu hata kuComment

Tukutane kwa Mabingwa 💪
 
Wakuu nimetoka kucheki tactical analysis ya kwanini Arteta anamtaka Declan Rice, dah! Bora aje tu.

Anajua kukaa na mpira, anajua jinsi ya kuiba mipira wakati wa pressing, anajua jinsi ya kuzuia movement za third man runner, anajua jinsi ya kujiposition ili mpinzani aonekane, ikipigwa pasi fasta ashaiwahi, ana consistency karibu kila mechi hata kama timu nzima ikicheza ovyo, yeye ndiye atakayetoka uwanjani kichwa juu, etc.

Tukimpata huyu na Caecedo tutatisha sana
 
Tukifanya maboresho machache kwenye Kikosi chetu tutafanya vizuri msimu ujao.

Mapungufu yalikuwa machache hasa baada ya kupata majeruhi, kama tutapata maingizo mapya zaidi kwenye kila namba hope tutakiwasha sana
 
View attachment 2645719
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye tunaenda kushiriki tena Uefa Champions League

Wale wenzetu waliokuwa wanasema Arsenal hata Top 4 tusingeingia wanaona Aibu hata kuComment

Tukutane kwa Mabingwa

Matarajio yako huku mnafika wapi?? Unachofurahi wewe ni kushiriki uefa utafikiri wewe ndo kroenke! Maana yeye ndo anafaida kuingia uefa , faida ya wachezaji na mashabiki ni kuchukua ubingwa!!
 
Matarajio yako huku mnafika wapi?? Unachofurahi wewe ni kushiriki uefa utafikiri wewe ndo kroenke! Maana yeye ndo anafaida kuingia uefa , faida ya wachezaji na mashabiki ni kuchukua ubingwa!!
Mnadhani wakati ule mnasema tunashiriki Futuhi(Mkiwa na maana ya Europa league) mnadhani hatukuwa tuna umia.

Wacha tukacheze na Mabingwa
 
Tusubiri tuone !, ila si amini kama arsenal imekosa ubingwa kisa haina mchezaji kariba ya rice! Je arsenal ina true central striker? Au ndo jesus chance 7 kafunga moja na sub yake Nketiah!!
 
Tusubiri tuone !, ila si amini kama arsenal imekosa ubingwa kisa haina mchezaji kariba ya rice! Je arsenal ina true central striker? Au ndo jesus chance 7 kafunga moja na sub yake Nketiah!!
Aliyetukosesha ubingwa ni majeruhi ya Saliba na Tomiyasu.. Toka alivyoumia Saliba timu iliyumba ikawa haiwezi tena kuanzisha mashambulizi toka nyuma!.. yaani tukawa hovyo kabisa huko nyuma.. kibaya zaidi athari zikaenda Hadi Kwa midfield yetu kutokuwa na consistency na partey akaanza kupuyanga baadhi ya mechi... Kitendo Cha Holding kucheza badala ya Saliba ilikuwa disaster maana jamaa alikuwa kutuchoma.. Angekuwepo Tomiyasu angeanza beki ya kulia na ben white angerudi kucheza nafasi ya Saliba. Kiukweli mechi tulizoshinda Saliba akiwa hayupo ni chache sana (nyingi tulipigwa).... Anyway!... Tufurahie hata hapo tulipofika Sasa, timu imejitahidi sana msimu huu!
 
Tusubiri tuone !, ila si amini kama arsenal imekosa ubingwa kisa haina mchezaji kariba ya rice! Je arsenal ina true central striker? Au ndo jesus chance 7 kafunga moja na sub yake Nketiah!!
Hivi unaelewa hata maana ya squad depth?
Ukitoa man city, timu gani nyingine Ina GD kubwa ya kuizidi arsenal?
Huyo central striker nani unayetaka asajiliwe, mwenye uwezo wa kumweka nje Jesus na Trossard ukimtoa osihmen
 
Wachezaji wawili waliosema hawawezi cheza Europa bora waende Juve kuna CL msimu ujao wanaenda kucheza conference league.
 
Hivi unaelewa hata maana ya squad depth?
Ukitoa man city, timu gani nyingine Ina GD kubwa ya kuizidi arsenal?
Huyo central striker nani unayetaka asajiliwe, mwenye uwezo wa kumweka nje Jesus na Trossard ukimtoa osihmen

Trossard sio central striker, siongeleiii GD maana ukimtoa halland kwenye kikosi cha city hakuna mchezaji mwingine aliyemfikia odergard or martinelii na saka kwa goals ila ukiangalia hao wote si ST ndo maana hata pep alimchukua halland na matokeo tumeyaona !!! Jesus anawekwa nje na watu wengi tu kama vile Toney. Jesus ni mzuri sisemi kuwa ni mbaya lakini sub yake nkentiah
real na unaenda cheza uefa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…