Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee wa kupress na kuoverload naona mpo mnarud mmoja mmoja kama mnatoka jandoni
.

Mwaka wenu bora na porojo zote mnaenda Trophyless acheni kua hopeless kiasi hichi.. Yan na hype yote ile mnaenda bila kikombe chochote.

Anyway sisi wana Gunners Lia Lia malengo yetu yametimia ya msimu huu tumefuzu UCL.
 
Amkeni amkeni nyie arsenyani mna raha gani????? Eti mlikuwa mnatusema karabao sio kombe? Wapuuzi kweli sasa tuambieni kombe lenu ni lipi???
Tena nawashauri badilisheni jina la timu ili hiyo laana iwatoke
hili hapa chini kombe walilopata msimu huu.
Ila daaahh ukiachana na paka hakuna kiumbe kingine chenye roho ngumu kama mashabiki lialia wa Arsenyau.
 
Umeandika ujinga.

Ila sitakufuata katika level yako ya ujinga.

Misimu miwili nyuma ikaamuliwa kuwepo super league ambayo zitashiriki timu kubwa pekee au timu ambazo zinaonyesha consistent.

Spurs aliingia kwa kuonyesha consistency. Arsenal aliingia kwakua ni timu kubwa.

Brighton aliingia kama nani? Kumbe hata hakuingia.

Wakati mwingine hua ukiniquote sikujibu kwasababu naona una ujinga mwingi.
 
Mashabiki wa arsenyani mmekubali kuto kutumia akili zenu kabisa nyie ndo mlisema mta dominant hii ligi kwa miaka 10 nyie ni vichaa tunajua.

Nasikia kwa sasa ndugu yenu hamis77 yupo milembe anapata matibabu ya afya ya akili ndo maana kapotea hapa.
 
Msitegemee kabisa msimu ujao mambo yatawaendea vizuri kama msimu huu.
Ilikua ni one season wonder, Ucl mnaenda kuchomolewa kwenye makundi kisha mnarudi tena Europa halafu msimu ujao kama kawaida yenu hio top 4 mtaishia kuisikia tu.
One season wonder ?? Toa na sababu sio unakua kama mganga.
 
Mashabiki wa arsenyani mmekubali kuto kutumia akili zenu kabisa nyie ndo mlisema mta dominant hii ligi kwa miaka 10 nyie ni vichaa tunajua.

Nasikia kwa sasa ndugu yenu hamis77 yupo milembe anapata matibabu ya afya ya akili ndo maana kapotea hapa.
Hata wewe umeandika ujinga pia.

Nitakupa same treatment, sitahangaika kuifikia level yako ya ujinga.
 

Kipi kinafanya arsenal kua timu kubwa, arsenal sio timu kubwa , kipi kinaifanya arsenal kua timu kubwa? Timu haina epl miaka20 unaita timu kubwa timu haina uefa hata moja unaita timu kubwa , timu haijacheza uefa miaka zaidi ya miaka 6 unaita timu kubwa
basi sawa taja mwaka ambao arsenal kacheza tu robo fainali uefa ni mwaka gani? Leicester city kachukua ubingwa miaka 7 iliyopita kacheza mpaka sijuii robo fainali ilee miaka 5 nyuma
Ila arsenal ana miaka zaidi ya 13 hajaingia hata robo fainali ya uefa. Ukubwa wa arsenal uko wapi hapo.
Arsenal si timu kubwa
 
Leicester kachukua EPL. Msimu huu yuko wapi?

Unaelewa kua timu kubwa ni inakua na firm footing kwenye ligi? Msimu ukianza hakuna mtu anayeweza kuwaza United, Arsenal, Chelsea au liva zitashuka daraja.

Leicester uliyoitaja huwezi kuiwazia hivyo? Unaifeel tofauti sasa?

Now kamuulize Perez na wenzake walivyosema zitashiriki timu kubwa na Arsenal ikaitwa waliangalia nini.
 
Inatia uvivu kujibu maoni ya mtu ambayo msingi wake ni hisia zake tu. Anakua hafikirii sawasawa ataandika ujinga na emoji mbili tatu kisha anakuquote.
 
Timu kubwa inapimwa kwa mafanikio , miaka 15 iliyopita nitajie mafanikio ya arsenal kwenye ligi , Leicester ana epl pia msimu 2019/2020 , 2020/2021 kamaliza juu ya arsenal kwa muda wa muongo moja Leicester ana mafanikio zaidii ya arsenal!! Ni wewe arsenal fan unaona arsenal ni timu kubwa kisa tu ni shabiki wa arsenal ila arsenal haina tofauti na wolves wala Leicester ni average timu
 
Inatia uvivu kujibu maoni ya mtu ambayo msingi wake ni hisia zake tu. Anakua hafikirii sawasawa ataandika ujinga na emoji mbili tatu kisha anakuquote.

Watu wankupa facts ww unaona hisia arsenal fans mmelogwa na nani unajua mara ya mwisho arsenal kufika robo fainali uefa ni 2008/2009 na misimu kibao kacheza uefa mpaka 2016 huko anaishia 16 ila Leicester kafika robo fainal within a single season only!
Unaelewa arsenal robo fainali ya mwisho ni 2008 unaona arsenal ni timu kubwa hapo. Be serious kidogo basi arsenal ni average timu ..
Wewe unaanza kutaja sijui chelsea sijuii man utd sijui Liverpool hizo ni timu kubwa ndani ya miaka 10 hizo timu zote zina Europa, uefa na ligi ni timu kubwa huwezi fananisha na arsenal.

Nipe sifa ili timu iwe timu kubwa inahitaji vitu gani 3 vya muhimu . Unamtaja perez tena na super league yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…