Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Akamatwe haraka sn.
 
Arsenal msimu ujao ndiyo watapoteana kabisa maana kwenye usajili hamtaweza ku-battle na timu zenye project zinazoeleweka. Nyie na Arteta wenu mmeithibitishia dunia kuwa ni bottlers.

Wachezaji wenu pia bado ni wadogo sana. Hii hali ya kukosa ubingwa au kombe lolote msimu huu pamoja na kuwa bora (mlivyojiaminisha) itawakata moto sana.
 
Agent wa Chelsea huyu hapa chini at work

Levi Colwill vs. Arsenal:
  • 90 minutes played
  • 4 clearances
  • 1 blocked shot
  • 3 interceptions
  • 2 tackles
  • 108 touches
  • 86.3% pass accuracy
  • 1 key pass
  • 13/20 long balls completed
  • 2/2 ground duels won
 
yeahp! Shida ni vijana wasio hata na ndevu kushinda na wanaume wazoefu
 
Yaani hawa arssAnal wanapitia magumu kweli. Si mkimbie team kuliko kupatwa na mawazo hivi na mmeukimbia uzi wenu
 
Unaambiwa mpaka dakika hii hamis77 yuko kwenye mikono salama akilisaidia jeshi la polisi na intelijensia ya nchi kuelezea huo uhaini wao wa kujitangazia ubingwa kabla ya ligi kuisha na kuleta taharuki kubwa kwenye jamii inayowazunguka, mfadhili wao ni nani na malengo yao hasa ni yapi?
 
Jorgninho alipojiunga na Arsenal January 2023 kutokea Chelsea, Arsenal walikuwa point 5 kileleni mwa ligi
Maagent wetu huwa hawatuangushi kabisa
Walianza akina Luiz, Willian, Petr Cech na sasa Jorginho

Walianza kututukana hawa washamba kwamba sisi tumeshindwa kumpa Jorginho EPL sasa atachukua kupitia Arsenal
Labda kwa muujiza wa karne
Note: sisi alibeba makombe ya nguvu manne pale darajani
  1. UCL
  2. Europa
  3. Club world
  4. UEFA Supper cup

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…