Safi sana Brighton, great goal, kama kuna mtu ndio anaangalia hii mechi kwa mara ya kwanza atashangaa kusikia hii timu ya Arsenal ndio ipo nafasi ya pili kwenye ligi
Muda sio rafiki ila tungefungua pakiti ya pili hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]