Kama kushinda isiwe kwavile mpira dunda I will enjoy this kama tutaifanya with style. 1, 2 feints, through balls, curled balls, duels won etc.
Kuna formation niliona juzi city kaicheza ya 3 3 3 1 hii mtu wa kwanza kumuona anaicheza kwenye modern football alikua Bielsa na Leeds yake na alifungwa ile game nafikiri.
So Pep analeta deals za kubadilika kadri muda unavyoenda and it pays bwana ila acha tuone we are not bad, we are mentally unstable ila hatuna ubaya huo.
Ije saa nne sasa