Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa wewe binti hawa newcastle tushacheza nao wakapaki basi hua naona mnaitaja kama timu tunayotakiwa kuiogopa. Wewe binti judgment yangu haitokani na magoli ni inefficiencies zinazotokea hapa
Shabiki la chelkenge Hilo ,unabishana nalo la Nini

Mishabiki mingi haiangalii mpira inapiga kelele tu

Nipo Banda umiza hapa et wanalalamika Newcastle kawachania mikeka ,nawashangaa Sana

Newcastle ana mpira gan wa maana kisa kamfunga Nyumbu


Astonvilla ana form hatari ukitoa Arsenal na city anayefata Ni astonvilla

Nyumbu alilambwa 4 na hawa astonivilla na ana gemu nao yakugombea top 4
 
Unakuta kabisa lishabiki linatutishia eti mna gemu ngumu anamuweka Newcastle


Huwa nacheka Sana ,
 
Hamstahili Kubaki top 4

Angalia mpira wenu ,hata magoli yenu ,GD fananisha na hawa top 10

Mpo nafas msiyostahili kuwepo
poleni sisi sio Arsenal haiwezekani kupita misimu miwili tusiende uefa never.
 
West Ham's Danny Ings on Arsenal:

"The way they play is really nice to watch. They have got a great manager. And you can see the team all buy into his philosophy."

"Arsenal a brilliant team."
 
Tatizo Spurs na Brighton hawapo seriously ,muda huu mngekuwa nafas za Chelsea na Liverpool

Kwasasa nampa hiyo Kaz astonvilla
Mbona unatapa tapa nipe prediction ya big 4 maana hata wewe timu yako tu ujui itamaliza ya ngapi.
 
Mbona unatapa tapa nipe prediction ya big 4 maana hata wewe timu yako tu ujui itamaliza ya ngapi.
Toka ligi inaanza mm niliweka wazi tutagombea ubingwa na vigezo niliweka

Top 4 yangu

Arsenal

Mancity

Newcastle

Astonvilla
 
Yaani ni Newcastle wanapigwa lakini wenye wanaumia ni arsenal fans
 
Toka ligi inaanza mm niliweka wazi tutagombea ubingwa na vigezo niliweka

Top 4 yangu

Arsenal

Mancity

Newcastle

Astonvilla
Ndugu zako Brighton ushawatoa saizi maana unawasifia kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…