Arshavin kafanyaje?Nimemkumbuka samir nasry
Bacar sagna
Arshavin
City tunampiga kwake, tukimkosa sana 2-1Tunahitaji draw mbili ,lakin draw Moja iwe against city
Shughuli itakuwa imeishia hapo
Wasipochanga karata zao vzr mechi 2 zijazo za ligi, Basi watagombea Europa league na Europa conference leagueIla nyumbu ni wajinga sana
Sababu pekee nyumbu ana uhakika na europa ni inconsistency ya bottlers spurs na Brighton kutotabirikaWasipochanga karata zao vzr mechi 2 zijazo za ligi, Basi watagombea Europa league na Europa conference league
Kabisa aisee, Spurs na Brighton wangekuwa na form ya kushinda hata mechi 3 mfululizo ,wangekuwa washamuondoa top 4 siku nyingiSababu pekee nyumbu ana uhakika na europa ni inconsistency ya bottlers spurs na Brighton kutotabirika
🤣🤣🤣🤣😂😂😂®️®️®️®️®️Hii dunia ilivyo na vituko, unakuta kuna shabiki wa arsenal yuko bize kusubiri man city adondoshe point kesho.
Umerudi jamaaArsenyeto mkipata kombe lolote msimu huu nipigwe Ban la mwaka
Ndicho tunachokisubiri hichoHii dunia ilivyo na vituko, unakuta kuna shabiki wa arsenal yuko bize kusubiri man city adondoshe point kesho.
Badili username muzeye.Aseno akichukua ubingwa maswali yote niulizwe mm
Sawa mkuu,subira yavuta heri ila kwa city utavuta shari bure.Ndicho tunachokisubiri hicho
Wazee wa pressin' & overloadin' wanamaliza trophyless msimu huu.Aseno akichukua ubingwa maswali yote niulizwe mm
Mikel Arteta on percentage stats being in City's favour now:Aseno akichukua ubingwa maswali yote niulizwe mm