.Jesus is back (jcb)
Arsenal NDOO
Haaland kiatu
Mechi ngumu ilikua na Bournemouth ambae tulimpiga kamba 3
Aliempiga mtu wiki (7up) akalala chuma moja kwa Bournemouth
Sasa hawa waliobaki wote watatembezewa FIMBO tu
Nyie vinyago mpoo. Somaaaaa hapoooooKuna watu wanakwambia Tuna kikos finyu
Arsenal Bench today: Matt Turner, Tierney, Nelson, Vieira, Jorginho, Jesus, Smith Rowe, Tomiyasu & Holding
With Eddie & Kiwior still to come
Kwahiyo ndo umechukua kombe au?Nyie vinyago mpoo. Somaaaaa hapoooooView attachment 2554268
Kuanzia kocha wenu had mashabiki mnaiwaza Arsenal tuKuna kila dalili leo Arsenyo anaaga mashindano.
Arsenyo 1 - 3 FCP
Agg (3-5)
Mnahela yangu nyie leo Sasa ole wenu mzingue.Sporting leo wajiandae , Emirates huwa hatucheki na kimaView attachment 2554329
Wewe jamaa miyeyusho sana juzi likawa linakimbia huko kwenye jukwaa lao arsenal anaongoza moja halijakaa sawa hilo kapiga cha pili punguza kimbelembele mtoto wakiume unakuwa na wenge sanaNyie vinyago mpoo. Somaaaaa hapoooooView attachment 2554268
MIKOJO SABA aliyokukojolea Liverpool mimba inaendeleaje??Kuna kila dalili leo Arsenyo anaaga mashindano.
Arsenyo 1 - 3 FCP
Agg (3-5)
Kuna Radha inapungua ,huwa inachagizwa na Odegaard,ParteyFootball yetu ya EPL kwenye Europa haipo kabisa game tight sana hii roho juu juu
Saliba hayupo ,hivo hatuwez kuanzia nyuma na beki holding atatuchomaHawa jamaa hatari sana midfield yetu imezidiwa kabisa Arteta amuingize Odegaard tu timu inaogopa kabisa kucheza kuanzia nyuma kila mtu anaukimbia mpira nafikiri Trossard pia inamfaa hii mechi.jamaa kila mchezaji anakaa na mali na anakimbia Arteta atulize kichwa sana