Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Why were they not prosecuted?
 
Nimekusoma
 
Of course, Arsenal way inaanza burudani mambo ya 'sexy-football' kisha mataji

Ukitaka pelechupelechu na mpira wa janjajanja unahamia unyumbuni/darajani kwenye mikenge
ule mpira wa manjesta dah nisiongee Sana wanasema tuna chuki

Ila kwa Epl huwa nasisitiza ,Kuna makocha ila Kuna Di zerbi huyu mwamba atakuja kupewa tu timu kubwa

Mechi ya Kwanza Pep alikuwa outplayed pale Etihad

Klopp ndio kila akikutana nae anadhalilishwa tu

Guardiola: "We’ve an Italian coach in Premier League, De Zerbi… he’s changing many things in the English football. He’s producing wonderful football", tells @SkySport
#BHAFC

"People said: you can’t play the ball from defense in PL. He’s doing that, and... incredibly well".
 
Hizo ni mbwembwe tu ila kiuhalisia Arsenyani msimu ujao hamna lolote, hii ilikua ni one season wonder iliyochangiwa kwa kiasi kikubwa na ubovu wa top4 teams (Chelsea, Liverpool, Man Utd & Man City)
Kwa kukuthibitishia hilo kwanza hamtapata kombe lolote msimu huu zaidi ya kufanikiwa tu kuingia top4.
Kubwa zaidi pamoja na kufanikiwa kucheza Uefa msimu ujao ila mtaishia kwenye hatua za makundi kisha mtatolewa na kurudi kwenye michuano yenu ya Europa.
 
Siku ya leo majira ya saa 5 kamili usiku, klabu yetu [Arsenal] itashuka dimbani kuikabili timu ya Sporting Lisbon ya Ureno!

Mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Emirates, Arsenal tukiwa nyumbani baada ya mechi ya kwanza kumalizika kwa sare ya 2-2 huko Ureno!

Wachezaji wetu wengi wapo fiti kabisa isipokuwa Elneny na Nketiah ambao bado wanauguza majereha yao!

Gabriel Jesus atakuwepo kwa mara nyingine tena kikosini!

Ni mchezo mgumu sana lakini ushindi ndio dhamira yetu ya kwanza!

Kila la heri timu Yetu pendwa [Arsenal]
 
Endelea kupiga ramli aisee ,ila zile 7 zimekupoteza kabisa ,umebaki kupiga ramli tu
 
| Fabio Vieira:

“I want to develop a lot, to improve a lot in my physical and my defensive position. I think I can be better, and I’m here to do it.

“In England, it’s more physical, and in Portugal, it’s more technical. You have to adapt… After a few months, I developed a lot, and I’m improving a lot every day to try to do my best.” #afc
 
Kocha wako Analalamika kuhusu Arsenal

Na nyie mashabiki mnalalamika


| Erik ten Hag: “In just one game we had the squad available totally - that was against Man City. Every other time it's been one player suspended, injured, or unavailable through illness. We have to deal with it well but Arsenal, all the time their squad is totally available.”


Msikie Kocha wetu

| Mikel Arteta on injuries following the loss to Man Utd in September:

“I’m not going to put any excuses because these are the players that we have, and for me they’re the best players.

“We try to do that and give them confidence and belief, and with those players we play the way that we played, so that’s it and that’s not going to change.”

[@arsenal]
 

Mwalimu wao keshaanza ngonjera tumpe muda watamkumbuka shosha
 
Makocha wengine si wa timu kubwa, namuelewa saana huyu jamaa, ila anaweza pewa timu kubwa akambwela.
 
Tofauti ya kocha na msimamizi wa mazoezi.
 
Huyu EPL itamshinda , Arsenal tuna squad ya wachezaji 26 tu ,wao Wana squad ya wachezaji 31

Tumekuwa na majeruhi wakutosha lakin tunasonga mbele ,
Kulalamika majeruhi anafanya uswahili tu, kabla ya kuanza ligi yote haya unakuwa unayajua, ni swala la kujipanga maana majeruhi hayaepukiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…