yaani mi ndo ningekuwa kocha wa hii timu haki ya mungu ningekuwa wapiga watu mitama changing room maana wanaudhi sana wachezaji hawa
ndugu yangu tuna msibaa... hata nafasi ya tatu sina nayo imani.......Ni upuuzi mtupu....Si AW si wachezaji...woye ni uozo....haingii akilini kuifunga man utd then unakuja kuchapwa na Stoke City....
Tusubiri mwakani Wakuu ndoto zetu msimu huu ndio zimefikia ukingoni. Timu hii inabidi ifumuliwe na kujengwa upya ili kuongeza uwezekano wa kutwaa mataji mbali mbali ya soka, lakini kama tutabaki na timu hii basi tutaendelea kusononeka hata msimu ujao. Mie nasubiri mchapo wa MANU VS Chelsea sasa najua hii itakuwa na ushindani wa hali ya juu na si ajabu mshindi ndio akautwaa ufalme wa soka UK. Leo mie nashangilia Chelsea ( I am very sorry BJ & Co) maana kuna Waafrika wenzetu wengi tu Drogba, Essian, Kallou, Malouda & Mikel hahahahaha lol! Sijui kwa nini yule Torres anaanza mechi hii muhimu badala ya kuwa kwenye bench
Torres anaanzia bench.
Mkuu vipi team yako imekuwaje tena???hahaha umeamia chelsea au sio??
Poa sana Mkuu, huyu huwa anapunguza sana nguvu ya mashambulizi kwa kushangaashangaa kiwanjani kama vile hajui yuko kiwanjani kufanya nini.
Hapana Mkuu hahahahaha lol! Mie GUNNERS damu damu Mkuu 🙂 ila leo katika mechi inayofuata nawafagilia Chelsea.