Happy Easter football fans wenzutu
Naomba matokeo wajameni....Baba mwenye nyumba kafungia Tv chumban kwake kaenda kula pasaka na wanae beach.
Naomba matokeo wajameni....Baba mwenye nyumba kafungia Tv chumban kwake kaenda kula pasaka na wanae beach.
Shikamoo brotherMbona mnakuja kuwanga huku wakati wa sikukuu? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nasikia refa ametishwa hatapewa mechi yoyote tena na FA kama Arsenal watashinda .... ..... ..... ... chacha chijui atafanya nini?
Manchester wanawanga hapa wakisaidiwa na Chelsick khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
BTW Nadal amefanya vitu vyake kule Barcelona ..... ........ ...... ...... ....... ...... 6 titles
Wasalaaamu rafiki zangu wa ukwel AW, Mbu, Wacha Boy, BBK, Michelle and CO.....nataman Awa Bolton wakazeeeeeeee!...samahan najua nimewakwaza ehh..
Shikamoo brother
He he...tupo kwa sana!!...leo ni leo!!!