Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuadmire team haina maana ni mshabiki, Naipenda Real Madrid pia ila sio shabiki. Mimi ni The Blue ndani nje
Ni sahihi Mkuu, ila ni ukweli usiopingika kuwa Mashabiki wengi wa Man city na Chelsea wametokana na mwenendo mbovu wa Arsenal yetu miaka 7-10 iliyopita.

Tukiendelea kuperfom vizuri na kubeba EPL wengi watarudi nyumbani
 
1. Sergej Milinković-Savić

2. Youri Tielemans

3. Declan Rice
Kwa mtazamo wangu binafsi, ningeshauri tusajili Milinkovic-Savic-DM na Youri Tielemans-CM dirisha hili hili kwasababu wanapatikana kwa bei nzuri tu
Tielemans £10-15M na Savic £30-35M kwaajili ya back up na rotation kwa Partey na Xhaka.

Wakati huohuo wiki kesho hiyo tukamilishe usajili uliopo jikoni tayari wa mabeki Ivan Fressneda na huyo mpoland kiwior (kama sijakosea spelling).

Tutakua tumekamilisha timu ya maana sana na kupata nafasi ya kufanya vizuri sana na kuijenga timu kwaajili ya muda mrefu sana ujao regards of the ages of many players we have.
#COYG..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…